Ushuhuda wangu kuhusu Single Mothers

Wakati unakutana nae hukujua kama huyo Mwanaume ni Kichaa? Je, Unaweza kumvulia chupi Mwanaume Kichaa?

Mbona wakati wa mwanzoni mliishi vizuri tu na haukuuona ukichaa wake? Kuweni wakweli? Hayupo Mwanaume ambaye anaweza kumvumilia mwanamke mwenye tabia za kikahaba unless ametaka tu aishi nae hivyo
 
Kuna wanaume mwanzoni wanakuwa malaika,ila badae wanageuka kuwa mashetani,kadiri siku zinavyoenda anabadilika,kitabia sio kama uliyoikuta mwanzo,unaamua kuivumilia lkn habadiliki ndo anazidi
 
We utakuwa Dr shika Junior. Hakuna docta wa type yako.
 
Kuna wanaume mwanzoni wanakuwa malaika,ila badae wanageuka kuwa mashetani,kadiri siku zinavyoenda anabadilika,kitabia sio kama uliyoikuta mwanzo,unaamua kuivumilia lkn habadiliki ndo anazidi
Inategemea unavyomtreat. Ukishindwa kukaa kwenye position Yako ,.lazima awe mbogo. Iko hivyo yaani.

Masharti Yako hivi..;-

KWANZA, muheshimu , mtii na submit kwà Mwanaume

Then yeye huyo Mwanaume ndio ataweza kukuheshimu zaidi, kukupenda zaidi na kusurrender everything to you. ( Mpaka passwords zote utapewa..simu/bank/ etc)

Hatakuficha kwà lolote. Atakua best friend wako.

Lakini ukitaka yeye ndio aanze kukuheshimu wewe, kukupenda wewe...itakua imekula kwako.
 
Huna akili....hapa tunawazungumzia singo maza, mimi nimezaliwa kwenye ndoa na sikuwahi kuona singo maza kwa kizazi kile...

Hata useme vipi,kuingia kwenye mahusiano na singo maza ni bora ukalale kituo cha polisi
Mkuu inaonekana umewachukia sana Single Mothers, ila sio wote wenye shida.

Wapo wengine ni waelewa sana.

Kitu mnachoshindwana wengi na Single Mothers ni kuwa wengi huwa hawahitaji dramas, yaani hawahitaji utoto. Unakuta Singo Mama amekupa moyo wake mtulie wewe bado unakuwa na utoto wa kujifanya kidume wa kuendelea kuvua wengine sketi.

Hapo lazima mpishane na hao Single Mama
 
Ukitaka single mother akupe yote mpende tu mwanae na muhudumie mwanae kadiri uwezavyo, wewe mpende tuu mtoto wake, ila usisahau huyo mtoto wake atakuja kuwa sumu kubwa sana kwako huko mbeleni
 
Najivunia Mimi ni Blood Group AB+,....hatupatagi ngoma Sisi. So ninao uwezo wa kusex na mtu mwenye Ukimwi na nisiupate UGONJWA huo.

Kwà bahati mbaya , watu tulio na aina hii ya group la Damu sisi huwa sio wazinzi...
Elimu yako ninamashaka nayo sana ulikoipatia [emoji848],au basi ila siku nyingine uwe unauliza kwanza vitu vingine unajiaibisha, kwamba group gani hawafanyi nini?[emoji23]
 
Wewe endelea kusomesha watoto Wa wanaumewezako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…