MzeeKipusa
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 2,705
- 4,967
Wakati unakutana nae hukujua kama huyo Mwanaume ni Kichaa? Je, Unaweza kumvulia chupi Mwanaume Kichaa?Muongo sana wewe,sijui hii research yako umeifanyia wapi,kuna single mother wanajiheshimu sana tu, na a unakuta amekuwa single kwa sababu alikutana na mwanaume kichaa asiyejuelewa,Sasa walivyoachana akabaki yeye kama yeye,sio kila s m ni Malaya,acheni kupotosha watu kwa vi research vyenu uchwara
Mbona wakati wa mwanzoni mliishi vizuri tu na haukuuona ukichaa wake? Kuweni wakweli? Hayupo Mwanaume ambaye anaweza kumvumilia mwanamke mwenye tabia za kikahaba unless ametaka tu aishi nae hivyo