Ushuhuda wangu: Mimi ni muathirika wa HIV (HIV Positive)

Asante Sana kwa ushuhuda na ushauri dada Priscilla. Nimeguswa Sana na stori yako
God bless you.
 
Kumbe kuna kuhongana humu ndani! Then mnalala nao? Ooghh Lord
 
Sina uhakika kama atarudi tena kujibu comments za wadau...Maji yamekorogeka tayari
Nipo nimejaa tele, sema sio kila kitu cha kujibu vitu vingine unaviacha viende. Kwa ufupi tu baadhi yao hapa hawajui ID yangu how active it's. Na wengi humu maisha yao nayafahamu kwa hiyo ni kukaa kimya, maana sipo hapa kujibishana na mtu
 
Asante kwa kushare experience yako, it is sad but hongera kwa kujikubali na kuendelea na maisha kama kawaida. HIV is not a life sentence.
To be alive is already a life sentence coz "we'll surely die regardless"!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…