Ushuhuda wangu: Mimi ni muathirika wa HIV (HIV Positive)

Sosho netiweki nimekuvulia kofia..
 
Ila nina wasi wasi huyu hayupo nchi za nje.
Kwa sababu hakuna nchi inayoruhusu muathirika kwenda kusoma kwenye nchi yao.
Hio nchi haipo.
Kwa hio huyu demi yuko hapa hap tz inawezekana yupo chalinze
Demi ?? Wajua wako wawl.. Kuna Demi na Demis
 
Ukisikia Conflict Resolution Training ndio hii.....huwa nawaambia vijana AIDS is real! Nafanya kazi kwenye hii field miaka na miaka najua watu wanavyoteseka!
 
Pole kwa yaliyo kukuta, Ila hongera kwa kuweza kuipokea hali yako katika mtazamo chanya. Naamini umekuwa imara zaidi baada ya kuijua hali yako. Tunashukuru pia kwa moyo wako wa kutujali na kututolea nje pale tulipokomaa nyama igusane na nyama nyenzake tukiamini tutapata ladha halisi ya tendo. May the Good Lord keep the positive energy in you to live longer and happier than ever.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…