Yaani unakuta Mwanaume unampikia, unamfulia, unamuogesha na mapenzi unampa kama yote. Lakini sasa hizo dharau wanazotuletea hadi unatamani kulia. Ndio maana mimi mwenzenu natoka na Wanaume wanaojielewa sio hao wenye njaa njaa za hovyo kama hao wasanii wa huko nyumbani Tanzania. Like, serious...
www.jamiiforums.com
Like, serious Mwanamke unaejielewa unapata guts za kutoka/kudate na Wasanii, tena Wasanii wenyewe hawa wa Tanzania njaa zinawasumbua kweli kutwa nzima kutembea wamepaka poda huko mtaani kumbe nyuma ya pazia wanafugwa na sugar ladies na sugar dadies
Ndio maana niko zangu nimetulia na Professa wa Chuo Kikuu, mtoto nadakezwa mpaka basi hapa na mpango kabla sijambwaga nahikisha kwanza nishajenga ndio namwachia au hata ikatokea ameniacha safi tu maana hadi sasa nimehudumiwa vya kutosha
Anakwambia Alimblock Huyo Profesa Mwisho wakaachana baada ya kukua kuwa ndio alimuambukiza UKIMWI! Hapa Hamna Ukweliii matukio hayo yapoo ila sio kwa huyuu Muongoo
Anapenda Uzi wake Uwe na Comment kibaooo...!!! Mpe Wiki 1 atasahau hata kama alipost huu Uzi
Priscallia,
Asante kwa ushauri mzuri kwa vijana wote kike na kiume.
Ila inaelekea na wewe unapenda sana ngono. Umesex na wanaume wengi sana hapa JF. Ushahidi ni pale uliposema ~WANAJIJUA.~ Hebu tujuze ni wangapi JF walitaka peku au walivua ndomu
Ila nina wasi wasi huyu hayupo nchi za nje.
Kwa sababu hakuna nchi inayoruhusu muathirika kwenda kusoma kwenye nchi yao.
Hio nchi haipo.
Kwa hio huyu demi yuko hapa hap tz inawezekana yupo chalinze
Mimi jamani sijui nibebwe na trekta gani kwenda kupima HIV nahisi nikikutwa na maambukizi nitaishi maisha mafupi sana bora nikae tuu hivihivi mpaka nianguke wanipeleke hospitali.kitajulikana hukohuko kama ipo au haipo.
Asante kwa ushauri mzuri kwa vijana wote kike na kiume.
Ila inaelekea na wewe unapenda sana ngono. Umesex na wanaume wengi sana hapa JF. Ushahidi ni pale uliposema ~WANAJIJUA.~ Hebu tujuze ni wangapi JF walitaka peku au walivua ndomu
Mimi jamani sijui nibebwe na trekta gani kwenda kupima HIV nahisi nikikutwa na maambukizi nitaishi maisha mafupi sana bora nikae tuu hivihivi mpaka nianguke wanipeleke hospitali.kitajulikana hukohuko kama ipo au haipo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.