Yaani unakuta Mwanaume unampikia, unamfulia, unamuogesha na mapenzi unampa kama yote. Lakini sasa hizo dharau wanazotuletea hadi unatamani kulia. Ndio maana mimi mwenzenu natoka na Wanaume wanaojielewa sio hao wenye njaa njaa za hovyo kama hao wasanii wa huko nyumbani Tanzania. Like, serious...
Like, serious Mwanamke unaejielewa unapata guts za kutoka/kudate na Wasanii, tena Wasanii wenyewe hawa wa Tanzania njaa zinawasumbua kweli kutwa nzima kutembea wamepaka poda huko mtaani kumbe nyuma ya pazia wanafugwa na sugar ladies na sugar dadies
Ndio maana niko zangu nimetulia na Professa wa Chuo Kikuu, mtoto nadakezwa mpaka basi hapa na mpango kabla sijambwaga nahikisha kwanza nishajenga ndio namwachia au hata ikatokea ameniacha safi tu maana hadi sasa nimehudumiwa vya kutosha