Hawachi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 12,010
- 54,194
Sikuwahi kujua mnaokula kimasihara ni waoga hivi 😁😁😁[emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]naona wanga mmezidi kuongezekaa...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sikuwahi kujua mnaokula kimasihara ni waoga hivi 😁😁😁[emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]naona wanga mmezidi kuongezekaa...
Ule Uzi unaongoza kwa i'd feki mpaka unajiuliza kwenye ule uzi watu wanafunguka kwa feki I'd.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]mimi ni ke,, naona kale kauzi kako ka kula tunda kimasihara kanavyokimbia kwa speed ya jet.. mie nipo kule kwa mshana naselfika na JF tu karibu sana nawe utupie picha yako (siyo ile ya kale kapaja)
Hapo bado hajawa shujaa angetumia ID yake tuliyoizoea ili tumjue. Lakin pia pole kwa hayo yote yaliyokupata.Pole sana, na Hongera kwa ujasiri wa kusema hapa kwa ID mpya!
Nikipta kwenye ule uzi huwa nashangaa mpo kama 3 kwa i'd zenu zinazojulikana wote I'd ambazo hazichat ila mule zinafunguka😁😁😁Una ID ambazo kuziona Jf ni nadraa sanaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nikipta kwenye ule uzi huwa nashangaa mpo kama 3 kwa i'd zenu zinazojulikana wote I'd ambazo hazichat ila mule zinafunguka[emoji16][emoji16][emoji16]
HakikaKwa karne ya sasa, kupata ukimwi ni ushujaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]raha ya fake ya fake id, mwingine anakufahamu kwa id nyingine wewe humjui...mmekulana nyie[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]Weee umenijuliaa wapi mimi???? Sijawahii gonga demu wa jf hata kimasiharaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hey baby boy Miss you.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mshana anakimbiza kwa selfie...!! Ukitaka story za maajabu kuja palee kwenye uzi pendwaa... Karibu sana mtoto mzuri uone naniliu zinavyochakatwaaa...mpaka watawaa...mashangazii...[emoji119][emoji119][emoji119][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] acha undezi hebu tambaa na beat huko
Ule Uzi unaongoza kwa i'd feki mpaka unajiuliza kwenye ule uzi watu wanafunguka kwa feki I'd.
Nimeona najiuliza hawa member wametokea fb au😁😁😁Mimi nikadhani nililiona hilo pekeyangu[emoji23][emoji23][emoji23]
Ndio dear kule asilimia 95 wanaotoa shuhuda ni wageni 😁😁Huo wa rikiboy??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]raha ya fake ya fake id, mwingine anakufahamu kwa id nyingine wewe humjui...mmekulana nyie
atakuwa kakosea, relax my dada nahisi alitaka ni quote mimi
Siku ya huzuni kwa mabaharia!
Hii thread ishaanza kuleta hekaheka aisee hali ya taharuki watu washavurugika muupumzishe mnafanya thread zianzishwe nyingi sana nje na hapa
Alete vipimo hapa
Ndio dear kule asilimia 95 wanaotoa shuhuda ni wageni [emoji16][emoji16]
Nani huyo mkuu??