Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 73,773
- 102,126
Hizo ndio takwimu latest kwa mwaka huu...
Ile mikoa iliuokuwa na maambukizi machache miaka ya nyuma, imeanza nayo kuwa vibaya
Ile mikoa iliuokuwa na maambukizi machache miaka ya nyuma, imeanza nayo kuwa vibaya
Siwaombei mabaya ila nikirudi nitajua hali ikoje maana nipo nafanya kazi katika taasisi moja kubwa tu ya sayansi hapo nyumbani.