Ushuhuda wangu: Mimi ni muathirika wa HIV (HIV Positive)

Ushuhuda wangu: Mimi ni muathirika wa HIV (HIV Positive)

Kumbuka kuna window period .
Pole sana mkuu, mimi kitu cha cha kwanza kabla sijakugegeda lazma nikupime damu Aiseee.
na pia una ujasiri sana mdada, hivi mimi nikiambiwa muathirika si nitaanza kutembea uchi barabarani, inahitaji moyo wa ziada aisee
 
Huwa naheshimu sana michango yako humu nikiri wazi nimekuwa nikikufuatilia sana. Kama unatumia kinga ni jambo la kheri sana.

Hongera sana
Asante sana. Wakati nakua nilivuka mikiki ya kutongonzwa na mibaba. Nilikuwa nakataa. Then baada ya muda wanaanza kuugua na kufa kumbe Ngoma. Namshukuru sana Mungu kwa kunipa hekima. Na nilipokuwa chuo boifrendi ni condom tu.
 
Priscallia,
Screenshot_20191119-214418.png
 
Asante sana. Wakati nakua nilivuka mikiki ya kutongonzwa na mibaba. Nilikuwa nakataa. Then baada ya muda wanaanza kuugua na kufa kumbe Ngoma. Namshukuru sana Mungu kwa kunipa hekima. Na nilipokuwa chuo boifrendi ni condom tu.
Mimi nalia sana na hawa wanafunzi ukiangalia takwimu mpya za maambukizi unaona kabisa vijana wenye umri wa miaka 16-26 hawa ndio wanaongoza kwa kuwa na maambukizi.

Bad enough ni kwamba hawajitambua, kwa hiyo chain unakuta inakuwa kila siku na ikumbukwe pia rika hili hasa kwa upande wa mabinti ni ngumu sana kukataa mitongozo kutoka kwa wababa na hivyo kuwaweka katika risk kubwa.

Na hawa hawa ndio wanenda/wapo huko vyuoni unakuta mtu anajiamini na kushiriki mapenzi bila kinga hivyo kueneza virusi.

Kwenu wazazi mnajukumu kubwa sana la kuwalea hawa vijana wa sasa yawapasa mkae nao chini muwape elimu juu ya ugonjwa huu.
 
Back
Top Bottom