Ushuhuda wangu: Mimi ni muathirika wa HIV (HIV Positive)

Ushuhuda wangu: Mimi ni muathirika wa HIV (HIV Positive)

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]au siyo,, pamoja na ubaharia wako wote hapa umesalimu amri eti??

Kwanza umepotelea wapi siku hizi??
Hapana mkuuu...Hii beat ni ya motooo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Guys mmeshawahi kusikia wale 1% ya watu ambao wako immunity to HIV ???? Thank god am one amongst them kwa kifupi nilipokuja kugundua hili nimefuatilia kwa ukaribu mno labda kama kuna watu wengine wapo kama mimi nikaja kugundua ni watu wacheche sana hasa nchi za nje bara la america na europe (marekani ,uingereza na other european countries zina watu wenye hii kitu ,south africa wapo wawili wakike bali wana partial mutation) .kwa kifupi
Kikubwa kinachotufanya tuwe tofauti ni mutation ambayo ina affect gene CCR5 kitu kinachopelekea seli hai zetu kukosa RECEPTOR PROTEIN hii inafanya magonjwa karibu yote ya virus yasiweze kutudhuru kwa kuwa wanakuwa hawawezi kujigawa ndani ya damu so wale walioingia ndo hao hao ndani ya 120 days wanakuwa flashed kama taka nyenginezo.
NINA MPANGO WA KUANZA KUTAFUTA WATU AMBAO WAPO NA HII ISSUE TUJARIBU KUJUANA SO KAMA USHAWAHI KUPATA AIDS KISHA UKAPONA BILA KUJUA UMEPONAJE TUJUANE .
 
Kwa sasa takwimu zilizopo ni Watanzania 200 kila siku wanapata VVU.
Siwaombei mabaya ila nikirudi nitajua hali ikoje maana nipo nafanya kazi katika taasisi moja kubwa tu ya sayansi hapo nyumbani.
 
Pole sana mtoa mada ila ndo maisha yalivyo uzuri umeshakubalumiana na hali ni hatua kubwa mno na wewe umeonesha ni mwanamke mwenye moyo mgumu keep up live a healthy life!!
 
Pole sana mtoa mada ila ndo maisha yalivyo uzuri umeshakubalumiana na hali ni hatua kubwa mno na wewe umeonesha ni mwanamke mwenye moyo mgumu keep up live a healthy life!!
asante na barikiwa sana.
 
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]Weee umenijuliaa wapi mimi???? Sijawahii gonga demu wa jf hata kiamsiharaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

😂😂😂
 
Back
Top Bottom