Ushuhuda wangu: Mimi ni muathirika wa HIV (HIV Positive)

Ushuhuda wangu: Mimi ni muathirika wa HIV (HIV Positive)

Hata Kama ni uongo Ila iwe funzo kwa wanaume wa Humu ambao kutwa kucha mnatongoza PM. Me ndo maana huwa nikimalizana kwenye comments basi mambo ya PM ukikuta nimekujibu basi ni mambo ya maana na sio flirting na ishu za mitongozo. Aku NATEGEMEWA
 
Asee kuna member mmoja alibanaaa badae akaniambia anao
Amenibania sababu ananipenda
Nikashukuru now tuna wasiliana tuu
Angetaka angeniambukiza
 
Asee kuna member mmoja alibanaaa badae akaniambia anao
Amenibania sababu ananipenda
Nikashukuru now tuna wasiliana tuu
Angetaka angeniambukiza
asante kwa kuwakumbusha humu ndani wamo waathirika wengi tu na nimekuwa nawasiliana nao tukibadilishana mambo mawili matatu. Ila leo wamekuwa wa kwanza kuninyooshea kidole.

Ubarikiwe sana kwa kutoa angalizo kwa wengine
 
May God be with you prisca.. Ila mimi siku nikijua nina ukimwi nahisi na papuchi nitaitia lock. I can't bear the guilt ya kumuambukiza mtu ukimwi hata kama ni kwa bahati mbaya tu, hata condom sitoiamini tena
thank you so much sweetheart, nimepoa tayari na maisha nayaona ya kawaida tu. Sijaona mabadiliko yoyote makubwa tangu nipate ugonjwa huu
 
asante kwa kuwakumbusha humu ndani wamo waathirika wengi tu na nimekuwa nawasiliana nao tukibadilishana mambo mawili matatu. Ila leo wamekuwa wa kwanza kuninyooshea kidole.

Ubarikiwe sana kwa kutoa angalizo kwa wengine
Kumbe katika waliokua wana kuzingua baadhi wamewaka?
 
Back
Top Bottom