Ushuhuda wangu: Mimi ni muathirika wa HIV (HIV Positive)

Halafu bado tunalalamika Pengo la Kanumba halijazibwa.


Huyu Ni Muigizaji wa Kiwango Cha Hollywood..Ameshika Zake popcorn na juice ya passion anawachora tu.
 
Mambo ni mengi muda mchache
 
Anaigiza nini mzee baba ? Hii story inaonekana ya kweli sema muhusika anaweza asiwe yeye.
Ukiangalia mtiririko wa story kuna fact ambazo muigizaji labda ni mtaalamu wa afya
Halafu bado tunalalamika Pengo la Kanumba halijazibwa.


Huyu Ni Muigizaji wa Kiwango Cha Hollywood..Ameshika Zake popcorn na juice ya passion anawachora tu.
 
Kuna members fulani humu maarufu (Jinsia Ke) wamejaliwa uzuri.Walikuwa wanashea jamaa naye yupo humuhumu,Jamaa kakutwa na ngwengwe mademu wamebaki kushikana mashati kila mtu anamtuhumu mwenzie kuwa ndo kaleta cheni ya Ngwengwe.Be careful with Jamiiforums
 
Ukizaliwa kusini mwa jangwa la Sahara lazima uwe mtaalamu kwenye magonjwa kama Malaria, Minyoo, na Ukimwi.

Hii ni moja kati ya stories million 1.6 kuhusu maambukizi ya ukimwi. La muhimu ni kujikinga na kumuomba Mungu, kuna watu wameletewa na wenzi wao, kuna watu wameambukizwa na wazazi wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…