Ushuhuda wangu: Mimi ni muathirika wa HIV (HIV Positive)

Ushuhuda wangu: Mimi ni muathirika wa HIV (HIV Positive)

rikiboy mla tunda kimasihara
 

Attachments

  • IMG_4103.JPG
    IMG_4103.JPG
    151.8 KB · Views: 8
Halafu bado tunalalamika Pengo la Kanumba halijazibwa.


Huyu Ni Muigizaji wa Kiwango Cha Hollywood..Ameshika Zake popcorn na juice ya passion anawachora tu.
 
Pole sana. Hii para pia imenistua sana (si kwa sababu ni mmoja wao). Ina maana vijana wa humu wengi umeshawaonja? Unasema "WAnajijua".

Lakini asante kwa ushuhuda wako, naamini wengi watajifunza kitu....sio wadogozako tu...hata watu wazima pia. Nashauri uendeleze kidogo ushuhusa wako kwa kutushirikisha namna unavyomudu maisha katika hali Hiyo na changamoto unazopitia? Unakosa nini kwa kuwa na hali hiyo ya maambukizi? Kwa mfano, una mototo/watoto, nk? Maisha yako kwa ujumla.
Mambo ni mengi muda mchache
 
Anaigiza nini mzee baba ? Hii story inaonekana ya kweli sema muhusika anaweza asiwe yeye.
Ukiangalia mtiririko wa story kuna fact ambazo muigizaji labda ni mtaalamu wa afya
Halafu bado tunalalamika Pengo la Kanumba halijazibwa.


Huyu Ni Muigizaji wa Kiwango Cha Hollywood..Ameshika Zake popcorn na juice ya passion anawachora tu.
 
Kuna members fulani humu maarufu (Jinsia Ke) wamejaliwa uzuri.Walikuwa wanashea jamaa naye yupo humuhumu,Jamaa kakutwa na ngwengwe mademu wamebaki kushikana mashati kila mtu anamtuhumu mwenzie kuwa ndo kaleta cheni ya Ngwengwe.Be careful with Jamiiforums
 
Ukizaliwa kusini mwa jangwa la Sahara lazima uwe mtaalamu kwenye magonjwa kama Malaria, Minyoo, na Ukimwi.

Hii ni moja kati ya stories million 1.6 kuhusu maambukizi ya ukimwi. La muhimu ni kujikinga na kumuomba Mungu, kuna watu wameletewa na wenzi wao, kuna watu wameambukizwa na wazazi wao.
 
Back
Top Bottom