Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,486
- 51,156
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimekwisha msamehe mkuu, na tunawasiliana nae vizuri tu na maisha yanasinga
Naona kama wamefuta comments au wameunganisha nyuzi
Acha ujinga dogo.
Demu niliyemla peku ni agata na mwingine ni mwalimu hayupo nchi za nje
Mkuu picha zake zipo kwenye uzi ule wa anaomsifia profesa?Mkuu si ulishatuma picha zako na ukasema adi nchi uliyopo na chuo unachosoma sasa umeficha nini?
Umenichekesha sana.[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]Weee umenijuliaa wapi mimi???? Sijawahii gonga demu wa jf hata kimasiharaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nasikia jana nimetukana [emoji1787][emoji1787]
Labda mods wameamua kufuta
JinJF pekee ambapo watu wanaungama madhambi yao kwa uwazi.
Kwanini wasitoe hizi shuhuda makanisani? Au hata kwenye mkutano wa ccm.
Afu kweli. Ulitukana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
HIV sio kitu cha kunyoosheana vidole.
Haya maambukizi hayaangalii nani mzinifu au nani mwaminifu....
Kana watu hapa hawajawahi chepuka toka kwenye mahusiano yao lakini wameletewa na wenza wao ambao hawakua waaminifu na kuna vijana wengi pia wamezaliwa wakiwa HIV+ wako mashuleni na vyuoni wanaanzisha mahusiano na unapokutana nao unaweza dhani umepata kitu kipya kabisa kumbe maambukizi yapo.
Tukumbuke pia tunaweza tukawa hatuna maambukizi leo lakini usiku wa kuamkia kesho au kesho kutwa tukawa tumeshayapata sababu hatuwezi kumchunga mtu mzima au ukampiga kufuli asichepuke.
Kwa tulio negative tumshukuru Mungu kwa hilo, tuendelee kujilinda na tusiwanyanyapae waathirika...
na tulio positive tujitahidi kuwalinda wenzetu pamoja na kutunza afya zetu
Kama alivyosema mtoa mada kila mmoja ajitahidi kuitunza afya yake
Asante mkuu interlacustrineregionHuu ujumbe ulitakiwa uwe wa kwanza kabisa pale juu baada ya mtoa mada, shukrani sana Mama.
Mkuu picha zake zipo kwenye uzi ule wa anaomsifia profesa?
😂😂😂zimefikaNdio beb wangu. Wasalimie wifi zangu kwanza
Saqa hata priscalia professional wake alikuwa anajali .he's clean and safe pia anajali. . Smart911 halali na Ke kizembe eti lazima mpime
Agata Edward [emoji44][emoji2957][emoji3166]Acha ujinga dogo.
Demu niliyemla peku ni agata na mwingine ni mwalimu hayupo nchi za nje