Ushuhuda wangu: Mimi ni muathirika wa HIV (HIV Positive)

Duh pole mdada na Mungu akubariki kwa somo na vijana kwa wazee tujilinde sana.

Siwezi na haitatokea kugonga demu bila kucheki status za afya zetu japo sio njia sahihi kwa 100% ila itasaidia.
 
Ningekua Mimi baada ya hayo matokeo ningemuomba Mungu msamaha, ningeachana na zinaa na matendo machafu na kurudi ktk ibada , kitu ambacho wewe unaonekana bado hujafikiri Jambo hili
 
JinJF pekee ambapo watu wanaungama madhambi yao kwa uwazi.

Kwanini wasitoe hizi shuhuda makanisani? Au hata kwenye mkutano wa ccm.
 
Mambo ni [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]

Poleni mliopita apo...

All in all wote tutakufa tu uwe nao au usiwe nao.......!



[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]Weee umenijuliaa wapi mimi???? Sijawahii gonga demu wa jf hata kimasiharaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umenichekesha sana.
Katika kula tunda kimasihara mkumbuke na kondom.
 
Huu ujumbe ulitakiwa uwe wa kwanza kabisa pale juu baada ya mtoa mada, shukrani sana Mama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…