Ushuhuda wangu: Mimi ni muathirika wa HIV (HIV Positive)

Naomba kurekebisha:
Nimeathirika ❌
Ninaishi na Maambukizi ya VVU✔

Na comment zote zinazofuatia ningeshauri tuepushe matumizi ya hilo neno Muathirika.

Nitarudi na pongezi kwako mtoa mada.
 
Hongera kwa kuwa mjasiri na kutoa ushauri

Lakini kwa mujibu wa maelezo yako ya mwisho inaonekana kama umepiga game na wanaume kadhaa humu

Anyway all in all I like u
 
Nimekwisha msamehe mkuu, na tunawasiliana nae vizuri tu na maisha yanasinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…