Ushuhuda wangu: Mimi ni muathirika wa HIV (HIV Positive)

Ushuhuda wangu: Mimi ni muathirika wa HIV (HIV Positive)

Like, serious Mwanamke unaejielewa unapata guts za kutoka/kudate na Wasanii, tena Wasanii wenyewe hawa wa Tanzania njaa zinawasumbua kweli kutwa nzima kutembea wamepaka poda huko mtaani kumbe nyuma ya pazia wanafugwa na sugar ladies na sugar dadies

Ndio maana niko zangu nimetulia na Professa wa Chuo Kikuu, mtoto nadakezwa mpaka basi hapa na mpango kabla sijambwaga nahikisha kwanza nishajenga ndio namwachia au hata ikatokea ameniacha safi tu maana hadi sasa nimehudumiwa vya kutosha
 
SMU, Changamoto zilikuwa mwanzoni jamii itakupokeaje ila nashukuru mimi ni mtu wa mcheshi na mtu wa kupuuza vilevile kwa hiyo haikuwa shida sana kulikabili.

About kids I'm planing to conceive nikimaliza masomo yangu
 
Shukrani sana madam

Maana huu ujumbe umenishtua sana ila hakuna la zaidi bora nikubaliane na ulivyotushauri.

Pia pole sana kwa masahibu hayo ila kumbuka kuambukizwa ukimwi sio mwisho wa maisha pambana na hali ilivyo na jitahidi kutosambaza kwa wengine na uwe mwalimu mwema kwa vijana wa sasa maana wengi wao hufuata sana mkumbi badala ya kujitafakari.

Priscallia,
 
Kwa nini usipime nao kwanza au kuwaelezea hali yako kiafya. Huoni unazidi kuusambaza (sorry)
Wengi unawagusia lakni wanakuwa wagumu kuelewa, pia nadhani unafahamu mkiwa katika mazingira fulani automatically mnajikuta mko kitandani but huwa niko aware wa kila kitu ndio maana huwa nasisitiza matumizi ya mpira.
 
Like, serious Mwanamke unaejielewa unapata guts za kutoka/kudate na Wasanii, tena Wasanii wenyewe hawa wa Tanzania njaa zinawasumbua kweli kutwa nzima kutembea wamepaka poda huko mtaani kumbe nyuma ya pazia wanafugwa na sugar ladies na sugar dadies

Ndio maana niko zangu nimetulia na Professa wa Chuo Kikuu, mtoto nadakezwa mpaka basi hapa na mpango kabla sijambwaga nahikisha kwanza nishajenga ndio namwachia au hata ikatokea ameniacha safi tu maana hadi sasa nimehudumiwa vya kutosha
[emoji23][emoji23] mpumzishe bwana kah
 
Back
Top Bottom