PierreLiquid
JF-Expert Member
- Oct 16, 2019
- 596
- 2,298
Rick boy na wenzie wapate somo apangoja waje na kuna yule aliyetuma nauli waje wapitie hapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rick boy na wenzie wapate somo apangoja waje na kuna yule aliyetuma nauli waje wapitie hapa
hapana sikuwa na nia ya kushiriki nao,sema ni ile mnajikuta katika mazingira fulani na mnajikuta mpo kitandaniHongera kwa kuwa mjasiri na kutoa ushauri
Lakini kwa mujibu wa maelezo yako ya mwisho inaonekana kama umepiga game na wanaume kadhaa humu
Anyway all in all I like u
Siri yangu mkuuKuna vijana ulikutana nao faragha, vijana wangapi mkuu?
Pole. Na pia naweza sema wewe hujielewi. Unasema mtu ana upendo wa dhati kwako alafu anakuambukiza ukimwi kwa makusudi. Huyo jamaa ana roho mba sana na hafai kuishi kwenye jamii. Hivi mtu unajua kabisa unaumwa alafu unaenda kumuambukiza mwenzio kwa makusudi kabisa. Dah binadamu tunatofautiana kwa kweli
Mama aaa! Alafu alikuwa anajisifia! Hakika anavuna matunda aliyoyapanda huyuLike, serious Mwanamke unaejielewa unapata guts za kutoka/kudate na Wasanii, tena Wasanii wenyewe hawa wa Tanzania njaa zinawasumbua kweli kutwa nzima kutembea wamepaka poda huko mtaani kumbe nyuma ya pazia wanafugwa na sugar ladies na sugar dadiesHivi nyie Wanaume mpewe nini mridhike? Wanawake wenzangu kuna la kujifunza kwa hili tukio la Ebitoke
Yaani unakuta Mwanaume unampikia, unamfulia, unamuogesha na mapenzi unampa kama yote. Lakini sasa hizo dharau wanazotuletea hadi unatamani kulia. Ndio maana mimi mwenzenu natoka na Wanaume wanaojielewa sio hao wenye njaa njaa za hovyo kama hao wasanii wa huko nyumbani Tanzania. Like, serious...www.jamiiforums.com
Ndio maana niko zangu nimetulia na Professa wa Chuo Kikuu, mtoto nadakezwa mpaka basi hapa na mpango kabla sijambwaga nahikisha kwanza nishajenga ndio namwachia au hata ikatokea ameniacha safi tu maana hadi sasa nimehudumiwa vya kutosha
Hivi ukimpima mtu, hayo si ni majibu ya miezi mitatu iliyopita..!!! KAMA KAUPATA JANA JE...?Pole sana mkuu, mimi kitu cha cha kwanza kabla sijakugegeda lazma nikupime damu Aiseee.
na pia una ujasiri sana mdada, hivi mimi nikiambiwa muathirika si nitaanza kutembea uchi barabarani, inahitaji moyo wa ziada aisee
Ndio ananihudumia, Mungu akijaalia ndio nitazaa nae.Samahani naomba kujua kwahiyo huyo mwalimu mmeanzisha familia yaani umezaa nae na anakuhudumia kama mkewe?
Asante sana kwa kunielewa.Priscallia ujumbe mzuri na muda mwafaka tukielekea kuadhimisha siku ya UKIMWI Duniani mnamo tarehe 1/12/2019.
Nipo na afya njema, hata ukiona physically huwezi nihisi kwa lolote [emoji3526]Usijali siyo mwisho wa maisha yako,ukifuata masharti vizuri, kila kitu kitakuwa poa tu kwako
Na imani watakuwa sawa.Sipati picha mabaharia waliopita na wewe na wanaona huu uzi wako kwenye hali gani sasa
kama virusi havijaonekana kwenye vipimo vinakuwa havina uwezo wa kuambukizaHivi ukimpima mtu, hayo si ni majibu ya miezi mitatu iliyopita..!!! KAMA KAUPATA JANA JE...?
asantePole
halafu jana nilisahau kukupima MUNGU WANGU, hata hatukucondomiseMmmmh. Na Mimi hapa nna homa na mafua ya kufa mtu saivi..
Jambo la heriNipo na afya njema, hata ukiona physically huwezi nihisi kwa lolote [emoji3526]
Ni vigumu sana kunitambua kama nilivyokwisha sema hapo mwanzo maana kwenye suala la ushauri na kujitunza najitahidi.Mimi siamini kwa zile picha Zako ngozi nyororo aisee
aminapole sana mkuu na Hongera kwa kujikubali kupata VVU siyo mwisho wa maisha