Ushuhuda wangu: Mimi ni muathirika wa HIV (HIV Positive)

Hapana, sijasema hivyo. Good thing ni kwamba all of them ambao nimekutana nao wako vizuri sana kwa bed. They real know what a woman want. So kuepuka mambo fulani fulani sitaki kutoka nao tena.

Niunganishe nao basi mamdogo. Hata mmoja tu.....

Btw, pole na hongera kwa kuwa muwazi, ni step moja kubwa sana ya kuiokoa jamii yako.
 
Umemalizia vyema mkuu, ukimwi upo, ila ukiwa na nidhamu ya Maisha utaishi Maisha marefu sana. Nina ushuhuda wa ndugu yangu, amekuwa positive tangu mwaka 1999 hadi leo yupo, katika afya njema kabisa. Wakati anaathirika, mtoto wake wa kwanza alikuwa kidato cha kwanza na mtoto wake wa pili alikuwa shule ya msingi. Leo hii watoto wake wamehitimu vyuo vikuu, wameolewa wote, yeye mwenyewe kasaidia ndugu zetu wengi sana, na ukimuona leo huwezi amini.... Naiona hii kwako, utaufikia uzee wako kwa Amani kabisa...
 
Pole sana mkuu, mimi kitu cha cha kwanza kabla sijakugegeda lazma nikupime damu Aiseee.
na pia una ujasiri sana mdada, hivi mimi nikiambiwa muathirika si nitaanza kutembea uchi barabarani, inahitaji moyo wa ziada aisee

Haya mambo yasikie tu aisee ila Mungu ni mwema tunajifunza
 

Watu wenye akili kama zako nawajua,
Wengi wao ni shallow
Pia husema watu wenye hella nyingi hawawezi kukaa kupoteza mda kuwa JF
 
Niunganishe nao basi mamdogo. Hata mmoja tu.....

Btw, pole na hongera kwa kuwa muwazi, ni step moja kubwa sana ya kuiokoa jamii yako.
Are you serious mdogo wangu. Nakupenda sitaki upitie niliyo yapitia.Huko uraiani kuna wanaume wazuri na wenye afya njema. Tafuta mmoja uishi nae, utayafurahia maisha mpendwa.
 


Mzee nisaidie namna ya kuachana na kudinya dinya maana mimi nataka niache kudinya dinya hovyo lakkni nimeshindwa. Yaani mchuchu unadinda kila mara daah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…