Ushuhuda wangu: Mimi ni muathirika wa HIV (HIV Positive)

Anyway kama ni zile haonekani sura nmeziona yuko healthy




Dada mzuri kabisa alafu anasema ameathirika
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
@Goddess,Huyo Huyo mkuu profesa Ndiyo amempeleka huko nje Kusoma tena anafundisha chuo fulan hapa dar
 
Umefanya na picha zifutwe[emoji23] hv unann lakini
 
Mzuri sana..

Na ana sura ya ukweli sana pia
 
Priscallia, Binti,
Pole sana kwa yaliyokupata. Nafurahi ulivyo jasiri hata kueleza hali yako hata kama ni fake ID.

Umetoa ushauri mzuri sana pia kwa waliopo na wajao vyuoni. Tena wajue kabisa, vyuoni ndiko pia kumeoza.

Zidi kujisafisha mbele za Mungu. Hata kama hutapona basi akusamehe na kukurehemu.
 
Hahahahaha kavaa miwani mizuri
 
Kukubali hali uliyonayo ni hatua moja muhimu sana kuliko nyingine yoyote...Wewe ni shujaa kwa hilo

Usiache kushiriki katika maombezi ukiwa na imani kuu utapata tena kuwa mzima...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…