Ushuhuda wangu: Mimi ni muathirika wa HIV (HIV Positive)

Ushuhuda wangu: Mimi ni muathirika wa HIV (HIV Positive)

Nimepigwa na butwaa kusikia umemsamehe kisa alikuwa anakupenda sana,acha ujinga ,angekupenda asingekuambukiza makusudi
 
Kama ulikua unajua kua umeshapata maambukizi ya Ukimwi kwanini uliendekea kubanjuka na vijana wengine hata kama walitumia kinga? kwani hujui kua Condom sio kinga kwa 100%?
 
Hiyo avatar yako imenihamasisha sana dada...ngoja nije pm
 
ID ya zamani, naomba usinielewe vibaya sijawataja hapa wala sijataja ID yangu ya zamani
Hii ID ya zamani itakuwa inatafutwa sana mithiri ya lile UA la utajiri.God forbid.

Hivi dada Demiss na richaabra wapo wapi?
 
Hapana siko tayari kushiriki tena tendo la ndoa na Mwanaume yeyote kutoka humu ndani.
Hapo kwenye red,ina maana upo tayari kushiriki tendo la ndoa na wanaume ambao hawapo humu ndani japo unajijua kua umesha athirika? hawa waliopo humu ndio hao hao waliopo huko nje,

Angalia sana usije ambukiza wengine iwe wamo humu ndani au wasiwe humu ndani,usibague wala usiweka magroup wala usiwagawe watu,kua makini sana na uwe muaminifu,
Mungu awe nawe In sha Allah.
 
Nilichokigundua kutoka kwa mleta mada ni kwamba amesha ambukiza watu wengi tu kwa kulala nao huku akijijua kua amesha athirika,sasa hivi anajutia alichokifanya ndio maana amekuja hapa kama vile kuwaomba msamaha au kutafuta sympathy tu!
 
Hapana, sijasema hivyo. Good thing ni kwamba all of them ambao nimekutana nao wako vizuri sana kwa bed. They real know what a woman want. So kuepuka mambo fulani fulani sitaki kutoka nao tena.

Acha uchoyo bibie...hutaki tufurahie maisha?!
 
Back
Top Bottom