Ushuhuda wangu: Mimi ni muathirika wa HIV (HIV Positive)

Ushuhuda wangu: Mimi ni muathirika wa HIV (HIV Positive)

HIV sii mwisho wa maisha binafsi mi nimetembea na wanawake 7 wenye maambukizi sikuweza kupata niliwahi tu kupizi

Tatizo ni kuchubuana na vijana mnaojivuna kumwaga na kukausha ndo shida ila mwanamke ukipiga kwa haraka kama huna kidonda unatoka salama

Jilindeni
 
Hapa lazima utoboe kondomu maksudi
20191201_155416.jpeg
 
Daah mkuu pole sana..ila UKIMWI umewekwa pabaya jamani! Msanifu wa uumbaji alikosea kidogo pa kuupachika maana aliye mzima ambaye hana hofu ya kuambukizwa ni yule ambaye ni marehemu tayari ila kwa sisi ambao hatujafa bado uwezekano wa kuupata ni mkubwa..kwa kua njia ni moja!
 
Lastly, kuna vijana baadhi nilikutana nao humu ndani they were good guys lakni niligundua wengi wao hawajali afya zao na wanaongozwa sana na sexual desire, maana unakuta mwanaume mko nae faragha baada ya mzunguko wa kwanza from nowhere anataka muende peku au katikati ya tendo anavua mpira kwa makusudi, wanajijua watakuwa mashahidi nilikuwa nawakatilia katukatu maana nilikuwa nawajali sana.

Duh....hapa sasa.....
[emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji44] so ushapigana mechi na jamaa kadhaa humu ?
 
Death is no longer a threat to mankind.


Ukimwi uwepo au usiwepo... Ila matokeo yake (kifo) bado kitaendelea kuwepo hata bila ya ukimwi.

Ukimwi haupo hata kwenye top 5 ya vyanzo vya vifo duniani.

Kuhangaika kupambana na kitu ambacho hakizuiliki(kifo) ni sawa na kupoteza muda, nguvu na akili.


Life time ya hiv positive person ni miaka mingi saana ukifuata kanuni zake ikiwemo mazoez, chakula, afya checking n.k


Ikiwa now una miaka 40 kwa nini uofie kifo cha ukimwi wakati una uwezo wa kufika 40 mingine with hiv.
Ikiwa huna powwr ya kumiliki kifo.. Kwanini unajisumbua mwenyewe.



Enjoy huu muda kwa kile unachokiwaza.... Utahangaika na ndomu utakosa watoto alafu utakuja kufa kwa kipindupindu.

Utajinyima utamu, utatumia nguvu na pesa nyingi kuuukimbia, alafu anakuua mbu kizembe tu.
Jamani ushauri huo
 
Pole. Na pia naweza sema wewe hujielewi. Unasema mtu ana upendo wa dhati kwako alafu anakuambukiza ukimwi kwa makusudi. Huyo jamaa ana roho mba sana na hafai kuishi kwenye jamii. Hivi mtu unajua kabisa unaumwa alafu unaenda kumuambukiza mwenzio kwa makusudi kabisa. Dah binadamu tunatofautiana kwa kweli
Na bado anasema kuwa aliye muambukiza ana upendo wa dhati......Nipo na mtafuta aliyesema mwalimu wa wanawake ni kipofu nimpe zawadi yake
 
Guys mmeshawahi kusikia wale 1% ya watu ambao wako immunity to HIV ???? Thank god am one amongst them kwa kifupi nilipokuja kugundua hili nimefuatilia kwa ukaribu mno labda kama kuna watu wengine wapo kama mimi nikaja kugundua ni watu wacheche sana hasa nchi za nje bara la america na europe (marekani ,uingereza na other european countries zina watu wenye hii kitu ,south africa wapo wawili wakike bali wana partial mutation) .kwa kifupi
Kikubwa kinachotufanya tuwe tofauti ni mutation ambayo ina affect gene CCR5 kitu kinachopelekea seli hai zetu kukosa RECEPTOR PROTEIN hii inafanya magonjwa karibu yote ya virus yasiweze kutudhuru kwa kuwa wanakuwa hawawezi kujigawa ndani ya damu so wale walioingia ndo hao hao ndani ya 120 days wanakuwa flashed kama taka nyenginezo.
NINA MPANGO WA KUANZA KUTAFUTA WATU AMBAO WAPO NA HII ISSUE TUJARIBU KUJUANA SO KAMA USHAWAHI KUPATA AIDS KISHA UKAPONA BILA KUJUA UMEPONAJE TUJUANE .

Ushawah kupata mafua???
 
Back
Top Bottom