Ushuhuda wangu: Mimi ni muathirika wa HIV (HIV Positive)

Ushuhuda wangu: Mimi ni muathirika wa HIV (HIV Positive)

Priscallia,

Pole ila kusema aliyekuambukiza alikuwa na upendo wa dhati. He inflicted pain and do good to the victim hlf anakuwa shujaa.

Matumizi ya dawa yamesaidia sana kupunguza maambukizi. Mgonjwa aliyetumia dawa zaidi ya miezi Sita na akawa na treatment rate nzuri basi CD4 hupanda na viral load kurudi katika level ndogo na pengine kufikia level ya Undetectable.

Use of ART=Undetectable viral load=Untrasmittable.
 
Priscallia,
[/QUOTE]

Akili za wanawake kweli wanazijua wao wenyewe 😁😁😁
Mtu anakuambukiza UKIMWI kwa makusudi, lakini bado unaamini anakupenda upendo wa dhati
🤣😂😂🤣😂🤣🤣🤣
 
Ndio mwanzo unapopokea majibu ya positive unahisi umebebeshwa mzigo mkubwa mno na inakuwa vigumu kukabiliana na hali husika.

Ila mwisho wa siku utakubaliana na hali husika na maisha yataendelea kama kawaida.
Kwa nini ulitembea na vijana bila kuwaambia status yako kuwa wewe ni positive ili wajue, badala ya kukubali kusex nao kwa kisingizio kuwa unatumia kinga.?? P umeniacha na majonzi hapo Dada angu
 
Hatari, nakumbuka nikiwa chuo kikuu Tanzania sikutaka kuwa na demu,sasa wao wakikaa vijiweni, wakisukana wanaambiana mambo. Siku moja nashangaa saa nane usiku anakuja binti ananiambia anaomba apunzike room kwangu nikiwa chumban mwenyewe. Nikasema haina tabu lala hapo vitanda vinne akalala. Usiku sana anaomba kukumbatiwa. Akaja kwenye kitanda changu. Nikamkumbatia kwa tahadhar na maswali mengi. Sikummega siku hiyo
Akili za wanawake kweli wanazijua wao wenyewe 😁😁😁
Mtu anakuambukiza UKIMWI kwa makusudi, lakini bado unaamini anakupenda upendo wa dhati
🤣😂😂🤣😂🤣🤣🤣
 
Bora niendelee na nyeto tu....maana sio kwa hizi takwimu za ukimwi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
IMG_20200117_211923.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahah si vyema kutaja hapa. Hiyo ni siri yangu ila muwe makini humu JF ni kama kijiji pia.

Muwe makini tu, huko mnapokutana.
kwakweli umakini unatakiwa, ila kwa sisi watu wa kugonga vyombo ni Blame an alcohol
 
Back
Top Bottom