KateMiddleton
JF-Expert Member
- Mar 15, 2021
- 3,883
- 4,676
Heehhe kwa mkeoo imeisha hiooo4.Mme kuwa na wake wengi
Uko busy sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Heehhe kwa mkeoo imeisha hiooo4.Mme kuwa na wake wengi
Kwer kabisa ata size anapenda apate kubwa kias au ndogo kiasi ili ajaribu tuKuwatafuna wote hao ni pesa,mtoa mada yuko njema si haba,..ukiwa na pesa unatafuna mwanamke yeyote yule,halafu kingne wanawake watu wa ajabu sana huwa wanapenda kujaribu vitu vipya yaan kiufupi wanapenda vipya yaan kama hajawi kwenda kwa mpalange ukipangilia maneno ya kumshawishi anashawishika!
Kamanda hongera,
Ingawa wengiiii hasa sisi wanaume hapo juu wanakupinga,wanakuona hamnazo na Kila sifa mbaya wanakupa,waulize asie wahi kuzini ni Nani?
Waswahili sisi tuna unafiki Sana baadhi yetu.
Tunasubiri volume two,Maisha ndiyo haya haya,achana nao wanga hao,wewe sakata papuch tu,hata Mimi au mwanaume mwingine akipata papuch anaikula tu.
Shortly,wanakuona gere wana
Siku hizi kuna homa ya ini na ni silent killerUsisahau kupima na "UKIMWI".
BVR ilikuwa ni issue ya siku nyingi sana mkuu wakati huo bado nabangaiza maisha.Pia issue ya mnadani nimeficha vyanzo vyangu baadhi kuhusu kipato changu mkuu.Unashangaa mtu kutoa 200,000?Unafikiri watu wote wanaoenda mnadani wana kipato duni? Pesa ndogo mno hiyo mtu akitoka mzungukoInshu sio Kulaa ninkawaida
Inshu ni kua na biashara ya kupeleka Nguo na vitenge Minadani..alafu eti UTOE LAKI MBILI...ni uooooooooongo mkuu.
Biashara za minadan, harakaharaka ni zakuzunguka na mizigo, nahizi huwa mitaji yake ni kati ya Laki 5-1M.
Ndo utoe laki mbili??? Haaaaaaa
kweli upate kibarua cha BVR alafu utoe Laki mbili???.
Maneno ya kwenye khanga dua la kuku.Mlavya watu navyake huliwa..
Hawa motivational speakers wana sumu hatari.Ukiendekeza sana kusoma mada kama hizi za motivational speakers wa kudinya, haki ya nani hutokuja kuoa! Maana utahisi wanawake wote hawaaminiki! Wanapigwa kirahisi! Nk. Wakati si kweli.
Ingawa siwezi kukataa kuna baadhi ya wanawake hata huelewi wanataka nini! Yaani anaweza akawa ana kila kitu/anatokea familia inayo jimudu! Lakini ukamkuta anapigwa pigwa tu hovyo na wachimba chumvi.
Hao wanapooza machungu na kujifariji kwa njia hiyo.[emoji23] [emoji23] [emoji23] kuna watu wanaamini iki kitu kumbe, sawa mtoa mada hajafanya vyema ila aya maneno ya kua ukimfanyia mtu kitu na kwako kitakutokea huwa maneno ya kujifariji tu
Walimu beki hazikabi kabisaUmeamua kuharibu ndoa za watu sasa, maana umefungua codes zote. Halafu kuna kundi la waajiriwa sekta fulani naona ni wahanga zaidi.
Safi sana,maisha yenyewe mafupi. Fanya kitu kinachokupa rahaKesho mkuu navishusha nahisi zipo mpaka vol 4
Mkuu mbona unamuonea wivu Baharia mwenzako,mbona wewe unaletaga visa kama hivi hatukupingi au ni chai?Inshu sio Kulaa ninkawaida
Inshu ni kua na biashara ya kupeleka Nguo na vitenge Minadani..alafu eti UTOE LAKI MBILI...ni uooooooooongo mkuu.
Biashara za minadan, harakaharaka ni zakuzunguka na mizigo, nahizi huwa mitaji yake ni kati ya Laki 5-1M.
Ndo utoe laki mbili??? Haaaaaaa
kweli upate kibarua cha BVR alafu utoe Laki mbili???.