USHUHUDA: Watanzania tuwe wakweli juu ya ufugaji wa kuku

Ndugu ni kweli kabisa mimi nimejenga banda dogo na store imetumika si chini ya mil 2.7 na ndio nimeanza kununua kuku wa bei rahisi vijijini ila si kazi nyepesi
 
Ni kweli bata wanakula sana tena sana@ embu nisaidie kitu mkuu mabata yangu madogo wanakufa ovyoovyo wana km miezi2 hivi walikuwa20 sasa wako 10 ,hiyo ni ndani ya siku3 tu
 
Bata na mvua hawapatani vipi wakati wanapenda maji? Then walizolewa na maji au baridi iliwaua?
 
Nimepoteza kuku wengi Sana, Leo hii Tena kwa Wamekufa kumi... Kuku wa kienyeji kabisa, Nakula sikukuu na msiba
 
Ni kweli bata wanakula sana tena sana@ embu nisaidie kitu mkuu mabata yangu madogo wanakufa ovyoovyo wana km miezi2 hivi walikuwa20 sasa wako 10 ,hiyo ni ndani ya siku3 tu
Wapo na mama yao au wapo wenyewe!?
Jambo muhimu kuliko vyote zingatia hawapati unyevu nyevu wowote kwenye mwili wao wasiwe wana chezea maji kabisa wasiwe wana lala sehemu yenye maji kabisa!
Me siwapagi dawa yoyote bata na wana zaliana Sana Adi sasa hivi nimesimamisha kuwapa mayai wakitaka tuna kula!
Maana wana taka kunizidi speed ya kulelea vifaranga!
Zingatia pia usijaribu kuwapa vifaranga wadogo pumba wata kufa Sana pia usichanganye chakula na maji, maji yakae kivyake na chakula kivyake!
 
Aonavyo mtu nafsini mwake ndivyo alivyo!
 
Hapo kwa bold! Big up
 
Em 1 unachanganya kwenye chakula?
Em ndo natumia kama nutrients kwenye kuotesha fodder. Ila na hiyo em inabidi niichanganye na molasis kwa formula maalum.
 
Mkuu huu upuzi wako utakujafanya watu tuonekane wehu


Yaani inshu ni sirazi saana lakini wewe unaizungumzia ki komedi komedi.
 
UFUGAJI WA KUKU IWE WA KIZUNGU AU WA KIENYEJI NI GHARAMA SANA ILA HAWA MNAO WAITA MOTIVATION SPEAKER WANAWAHARIBU WATU SANA MM NI MFUGAJI WA KUKU WA KIENYEJI KUNA CHANGAMOTO NYINGI SANA JAPO UVUMILIVU HUTAKIWA ILA SI HABA KUKU 250 SASA NA MAYAI YA KUTOSHA
 
Kadri tunavyozidi kwenda mbele , siwafichi watanzania tutaingia kwenye viumbe wa ajabu duniani. Safari yetu imeanza hivi.
1. Walio na ajira kila siku wanaimba kuacha kazi
2. Wasio na ajira wanatembea na bahasha kila siku kuzitafuta kazi.
3. Huku kwenye ujasiriamali nako ni vilio, mtu anataka afanye kazi asubuhi apate chake saa nne.

Mbaya zaidi tunatoa alama kubwa katika nafasi ya kushindwa bila kuchukua hatua.

Mtu anaanza mradi kichwani ana mawazo ya akina Steve Job bila kujiwekea muda.
 
Bata hawali sana kuku ndio noma wanakula mafala hatari
Huwajui bata wewe

Hanaga muda kwanza huyu fara, usipozima taa utamkuta mida ya saa nane unaweza mkuta anapiga mbizi kwenye misosi
Ana kistaili chake akizama kwa msosi anaibuka kulainisha na maji
 
Mkuu huu upuzi wako utakujafanya watu tuonekane wehu


Yaani inshu ni sirazi saana lakini wewe unaizungumzia ki komedi komedi.
Kuwa makini sana pia usifananishe watu me Bata ninao zaidi ya 170+ na si Bata wa aina moja hahahha upuzi unaweza kunionyesha upuuzi nilio andika hapo!?
sijuwi nikipi ulicho waza adi unione nimeandika upuuzi!! Imebidi nirudie kusoma broo kuwa makini sipo hapa kufurahisha genge pengine mimi siyo mtu wa aina yako kabisa!! Me nipo hapa kuwambia watu kile nikijuwacho kwa 100% sasa usifanye watu tuwe wavivu kuwapa watu marifa tunayo ya juwa japo kwa uchache!
Tafadhali sana sana usifananishe watu wala usitumie kilevi kama kina kufanya ukaona mandishi kinyume nyume au kama kina kufanya udharau watu usio wajuwa pengine unaweza ona unajuwa kumbe hujuwi kabisa!



Picha zita kufundisha pengine kuwa na busara! ata kwangu ninaweza kuambia uje pengine litakusaidia kutokuwa na hila na mtu usie mjuwa



Busara ni kitu kidogo sana lakini chenye dhamani kubwa sana kwenye maisha!
Bahati mbaya sana ninagekuwa nyumbani ningepiga picha nikiwa na bata wote ili watu wakujuwe na pengine iwafundishe wengine
 

Attachments

  • IMG_20181226_093642.jpg
    430 KB · Views: 91
  • IMG_20181118_095857.jpg
    346.5 KB · Views: 82
Kajitu kanagongea rimoti ya tecno kanaingia mtandaoni akisoma ufugaji wa kuku anafikiri ni kupika maandazi izo garama hapi juu bado chakula na madawa na vyombo vya chakula na maji ya bahari mimi mwenyewe mfugaji og
Maji ya bahari ya nn tena?
 
Kweli kabisa mkuu nilipoanza kutengeneza banda nilishangaa mbona gharama kubwa hivi nikawa naona pesa inaenda tuu tofauti na wahamasishaji. Ila namshukuru Mungu sikukata tamaa nilikomaa mpaka nikamaliza na sahizi najipanga kuongeza banda lingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…