USHUHUDA: Watanzania tuwe wakweli juu ya ufugaji wa kuku

USHUHUDA: Watanzania tuwe wakweli juu ya ufugaji wa kuku

Ex
Mkuu inategemea mwezi wa 9/2018 nimetumia laki 5 kujenga banda lenye ukubwa wa 3*5M
Nikanunua kuku 5 jogoo 1 na tetea 4 kwa 67,000
Nikanunua chakula nikachanganya mwenyewe pumba debe 7 mashudu,dagaa, chokaa, mifupa tolat 48,000
Chanjo ya kideri 7elfu!
Mpaka sasa nina vifaranga 43 wana mwezi sasa.ninewanyanganya mama yao Nategemea mwezi wa1 2018 wataanza kutaga tena!
Ukisikiliza wanaopinga wanadhani garama za ujenzi zipo costant nchi nzima!!
Kuna amabo wana access ya kupata mabanzi... Pia wapo wenye accesa ya kupata used playwood so inategemea.

Unaweza kuanza hata kwa laki 2 tuu
Exactly ..
Inategemea eneo na mazingira husika
 
Kidogo sana niliwahi kutotolesha vyangu nilinunuwa incubator mkuu kuku zikanizingua nikahamia kwenye mabata!
Niulize tu mkuu!
Kuna mteja wangu kanunua mayai kwangu Sasa alikopeleka hayakutotolewa yote alivyomuuliza huyo mwenye mashine anasema Eti ukisafirisha mayai kiini kinachanganyika!

Hili ni kweli? maana sijawahi sikia hii kitu mkuu!

Au amempiga panga maana wengine yanatotolewa vizuri tu tena yote!
 
Mkuu kwa ninavyo faham kidogo sio lazima yawe yame tikiswa ndio yasi anguliwe !!
Inategemea pia ulikuwa umeya hifadhi vip mayai ya kuanguliwa yana hitaji uangalifu sana kwenye kuya tunza ukitaka yanguliwe 90%
Incubator zile tray zake inatakiwa zishafishwe na dawa kila baada ya kuanguliwa mayai! Pia hizo zako pia zinatakiwa kama ni za plastic inabidi uzisafishe na dawa kila unapotaka kuweka mayai kwa ajili ya kuangulia maana kuna bacteria mayai yanapata kutoka kwenye hizo tray kama zimetumika mda!
Kama ni za karatasi sio nzuri kuhifadhia mayai ya kuangulia kwa muda!
Maana hazi safishiki!
 
Shukran mkuu
 
Kuna mteja wangu kanunua mayai kwangu Sasa alikopeleka hayakutotolewa yote alivyomuuliza huyo mwenye mashine anasema Eti ukisafirisha mayai kiini kinachanganyika!

Hili ni kweli? maana sijawahi sikia hii kitu mkuu!

Au amempiga panga maana wengine yanatotolewa vizuri tu tena yote!
Watotoreshaji wengi ni wezi wanaibia watu vifaranga na kuuza ukiwauliza wana visababu vya ajabu ajabu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tanzania kuna upotoshaji mkubwa sana, wengi wetu ni. waongo waongo sana. Penye ukweli tunapindisha. Kweli kabsaaaaaaa utaona m2 kaandka at kwa mtaji wa laki 3 tu utatajilika kuptia kuku duuuuuuuhhhh!!! Ingekuwa rahaaa xanaaa

Ili ufuge kuku wa kienyeji, tena kwa banda la hali ya chini kabisa, ni lazima uwe na vitu vifuatavyo :-

(Kwa banda la mita 9 kwa mita 3)

1. Eneo la kutosha kwa ajili ya banda

2. Muda wa kutosha kuwahudumia kuku

3. Uwe na mtaji wa siyo chini ya Milioni 1.5 kwa ajili ya kujengea banda tu

Gharama ya fundi siyo chini ya laki 1.5 , mabati used siyo chini ya mabati 15 @ 8,000 TZS , matofali ya kuchoma 800 300 TZS, misumari ya bati 2 kg @ 5,000 TZS , Binding wire , bawaba , cement 12 bags , kufuli 1 @ 5,000 TZS , kitasa 1 @ 4,000, mbao ( 2 x 2 , 3 x 2 ) 800 Rft , mirunda 12 @ 5,000 TZS , Chicken mesh 1 Roller 80,000 TZS , Wavu mgumu 2 Rollers @ 12,000 , usafiri na mengineyo madogo madogo.

4. Uwe na walau laki 3 za kununua kuku wakubwa wanaokaribia kutaga

Ikumbukwe tu , kuku 1 ni kati ya TZS 10 - 15,000

Watanzania tuwe wakweli , tuache uongo na ushabiki wa vitu tusivyovijua kwa vitendo.
 
2.4 million banda tuu la kuku mkuu, 😂😂😂😂 we jamaa umezingua,ufugaji wa kuku ni rahisi sana mazee, nimezaliwa nimekuta home wafugaji wa kuku,bata,ng'ombe ,mbuzi,kanga,njiwa,bata mzinga na kondoo , kuku wana faida ni kinoma, as long as unawajali,chanjo kwa wakati,wasikose chakula,PPIA YAPASA UWAPENDE KWANZA/UPENDE UNACHOKIFANYA,FAIDA BAADAYE SOON NATEGEMEA KURUDI NYUMBANI NKAANZE KUFUGA NA MIE MAANA MABANDA NI KAMA YOTE
 
Kwa kuwa wafugaji wengi hawahitaji kujifunza ndo maana wanahangaika na chakula. Mimi natumia ngano, naotesha chakula (Hydroponics Fodder) - ambapo kilo mbili za ngano zinanipatia chakula kilo 14/16. Hizo ngano kilo moja naipata kwa gharama ya Tshs. 1,200 / 1,500. Hivyo suala la chakula kwangu sio shida; labda changamoto inakuja kwenye muda wa kuotesha - zoezi hili la kuotesha ni endelevu kama kupiga mswaki kila siku ila unapata chakula bora kwa gharama nafuu.
Kuhusu virutubisho natumia EM.1 ambayo lita moja inanipatia lita 20 za virutubisho ambavyo naweza kutumia mwaka mzima na kiasi kingine nikawauzia wafugaji majirani wanaoona umuhimu wa hivyo virutubisho.
Kwa ujumla nimekuwa mfugaji kwa muda mrefu hadi nimeona kuwa kufuga ni namna unavyoji-tune kufanya hiyo kazi.
Mkuu unipe hiyo elimu.
 
Tanzania kuna upotoshaji mkubwa sana, wengi wetu ni waongo waongo sana. Penye ukweli tunapindisha.

Ili ufuge kuku wa kienyeji, tena kwa banda la hali ya chini kabisa, ni lazima uwe na vitu vifuatavyo :-

(Kwa banda la mita 9 kwa mita 3)

1. Eneo la kutosha kwa ajili ya banda

2. Muda wa kutosha kuwahudumia kuku

3. Uwe na mtaji wa siyo chini ya Milioni 1.5 kwa ajili ya kujengea banda tu

Gharama ya fundi siyo chini ya laki 1.5 , mabati used siyo chini ya mabati 15 @ 8,000 TZS , matofali ya kuchoma 800 300 TZS, misumari ya bati 2 kg @ 5,000 TZS , Binding wire , bawaba , cement 12 bags , kufuli 1 @ 5,000 TZS , kitasa 1 @ 4,000, mbao ( 2 x 2 , 3 x 2 ) 800 Rft , mirunda 12 @ 5,000 TZS , Chicken mesh 1 Roller 80,000 TZS , Wavu mgumu 2 Rollers @ 12,000 , usafiri na mengineyo madogo madogo.

4. Uwe na walau laki 3 za kununua kuku wakubwa wanaokaribia kutaga

Ikumbukwe tu , kuku 1 ni kati ya TZS 10 - 15,000

Watanzania tuwe wakweli , tuache uongo na ushabiki wa vitu tusivyovijua kwa vitendo.
Kweli kuna gharama lakini hizi zako zimekuwa too theoretical..nyingi....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom