Wasiliana na agent wako anayesafirisha huo mzigo kutoka china kuleta bongo ndio atakupa bei ambayo ame include taxes kila kitu, mimi huwa nawatumia silent Ocean kwa bidhaa zangu ndogo ndogo. Gharama wanayonipa ipo included kila kitu kuhusu ushuru, ni mimi tuu kwenda kuchukua mzigo wangu warehouse zao