Mtemi mpambalioto
JF-Expert Member
- Aug 23, 2015
- 3,436
- 7,955
Suala la Parking fee kwa kweli naanza kuamini kuna upigaji mkubwa!
Kitendo cha kutokuweka karatasi kwenye gari mara baada ya kupiga picha si kitendo cha uu gwana kabisa! tunaibiwa sana sana sana kupitia uhuni huu.
Hebu fikiria mtu anakupiga picha ukiwa kwenye FOLENI! kwenye foleni jamani kweli kabisa, kweli?
Nilikwisha enda kulalamika nikakuta nusu ya makato yote ni ya watu kukosea kukujazia na kukuibia kukiwemo! Gari ni CGH inaandikwa DHJ. ukilalamika wanasema watamkata aliyekuwekea kimakosa na wanaahidi kufuta kwako ila HAWAFUTI!?
Swali langu kwa wenye magari je hili linanipata mimi tu au na nyie wenzangu, Nini kimepelekea kupotezea kutoa risiti ili mtu ajue kama ameandikiwa maana hata hiyo app nilijiunga mtandaoni na haileti meseji kama umepigwa picha.
Swali kwa serikali je mmebariki wizi huu? Au ndio aina mpya ya tozo unakatwa juu kwa juu bila kujua kama ni halali au sio halali
Je, TARURA uhuni huu nyie mnaoona mnafaidika nao. Je, mmepewa baraka na nani? au ndio ILANI ya Chama tawala imeelekeza hivyo!