Hapo sawa, Sasa hiyo gesi wa Tukuyu ipo,?Mods kichwa kisomeke ushuru wa magari used uongezwe
Unalipa ushuru wa Ist ndio maana haujui ushuru wa magari na kutoa mawazo ushuru uongezwe wakati ushuru wa land cruiser pick zote unazozijua wewe kuanzia 2010 kuendelea ni 40m na kuendelea na ya 2008 ni 34m Scania G tractor ushuru ni 34m ya 2015 na ya 2017 ni 40m katika Nchi zinazotuzunguka zote Tanzania ndio ina ushuru wa magari mkubwa kuliko Nchi zote za SADC lakini bado unaona mdogo..Mods kichwa kisomeke ushuru wa magari used uongezwe
Badala ya kuwaza ushuru ushuru, tuanze kutegeneza gari, pikipiki hapahapaBajeti Kuu ya Mwaka 2025/26 imesomwa. Bei ya gesi inaendelea kushuka, jambo linaloashiria mwelekeo chanya wa nishati safi.
Kwa kuzingatia azma yetu ya kulinda na kuhifadhi mazingira, napendekeza kuwa katika Bajeti ya Mwaka 2026/27, ushuru wa magari yaliyotumika (used cars) upandishwe, huku ushuru kwa magari yanayotumia umeme (EVs) ukishushwa.
Lengo ni kuwahamasisha Watanzania kuagiza magari ya umeme kwa wingi zaidi kama njia ya kupunguza uchafuzi wa mazingira unaosababishwa na magari yanayotumia mafuta ya petroli na dizeli. NβyadikwaView attachment 3366214
Hafuatilii mamboUnalipa ushuru wa Ist ndio maana haujui ushuru wa magari na kutoa mawazo ushuru uongezwe wakati ushuru wa land cruiser pick zote unazozijua wewe kuanzia 2010 kuendelea ni 40m na kuendelea na ya 2008 ni 34m Scania G tractor ushuru ni 34m ya 2015 na ya 2017 ni 40m katika Nchi zinazotuzunguka zote Tanzania ndio ina ushuru wa magari mkubwa kuliko Nchi zote za SADC lakini bado unaona mdogo..
Katiba tu kuirekebisha imeshindikana Hereni tu haitengenezwi hapa, madini yooote hakuna linalobaki hapa hata wakatengeneza vidani afu eti gari itengenezwe tzπππBadala ya kuwaza ushuru ushuru, tuanze kutegeneza gari, pikipiki hapahapa
Tunachelewa sana. Tulitakiwa tuwe na bomba la gesi kila mkoa.Hapo sawa, Sasa hiyo gesi wa Tukuyu ipo,?
Huu ukweli watu wengi hawataki kuujuaYani unategemea serikali ndio ihamasishe magari ya umeme wakati wamiliki wakubwa wa vituo vya mafuta ni viongozi
Itatuchukua muda kutengeneza magari bado internal support siyo kubwa kihivyo. Masoud Kipanya zaidi ya mwaka wa Tano sasa anapiga mark time, support almost haipo alipaswa kuwa na kiwanda kikubwa already, sisi tuendelee kuagiza kwa sasa mpaka tutakapotengemaa eneo hilo la manufacturing hapa ndani.Badala ya kuwaza ushuru ushuru, tuanze kutegeneza gari, pikipiki hapahapa
Umeshachukua form?Bajeti Kuu ya Mwaka 2025/26 imesomwa. Bei ya gesi inaendelea kushuka, jambo linaloashiria mwelekeo chanya wa nishati safi.
Kwa kuzingatia azma yetu ya kulinda na kuhifadhi mazingira, napendekeza kuwa katika Bajeti ya Mwaka 2026/27, ushuru wa magari yaliyotumika (used cars) upandishwe, huku ushuru kwa magari yanayotumia umeme (EVs) ukishushwa.
Lengo ni kuwahamasisha Watanzania kuagiza magari ya umeme kwa wingi zaidi kama njia ya kupunguza uchafuzi wa mazingira unaosababishwa na magari yanayotumia mafuta ya petroli na dizeli. NβyadikwaView attachment 3366214