Usia wa busara kutoka kwa shujaa Volodymyr Zelenskyy.

Kipenga kinaendelea

Mkuuu alitaka kuleta mabishano na USA

Mwisho kasema Yuko radhi ajiuzulu Ukraine iingie NATO


Mkuu WA USA kamwambia NATO unaitaka HAPO tokaaa


natumaini soon kusikia kijana akituaga akiagwa kwa HESHIMA kubwaa

Kila la kheri mkuu umeipambania nchi yako

Kongamano la KUKANYAGA nyayoo kawe Tanganyika packers

N JUMAPILI HIIIIIIIIII

Awamu ziko mbili

Saa Moja mpaka sa nane

Sa nane mpaka jion

Njoo ukanyage mafuta nyayoo zakoo zissafishwe nyota yako irudi

Watu WA dini zotee mnakaribishwa kwa Dk Mwampoosa

Mbarikiwe
 
Nchi ikiwa kwenye vita haiwezi kufanya uchaguzi. Hata Uingereza wakati wa vita vikuu vya pili vya dunia haikufanya uchaguzi.
Marekani Walifanya Uchaguzi Mara ngapi wakiwa Vitani
Anaye Pigana naye Mbona kafanya Uchaguz
 
😁😁 Dr mwamposaa
 
Nchi ikiwa kwenye vita haiwezi kufanya uchaguzi. Hata Uingereza wakati wa vita vikuu vya pili vya dunia haikufanya uchaguzi.
Marekani ?, Russia ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…