Usia wa busara kutoka kwa shujaa Volodymyr Zelenskyy.

Usia wa busara kutoka kwa shujaa Volodymyr Zelenskyy.

Marekani Walifanya Uchaguzi Mara ngapi wakiwa Vitani
Anaye Pigana naye Mbona kafanya Uchaguz
Marekani vita ilikuwa haipaganwi nchini mwao, hata Russia vita haipaganwi nchini mwao na pia uchaguzi wa Russia ni maigizo tu ya kumtambulisha Putin kwa mutual unaofuata.
 
Marekani Walifanya Uchaguzi Mara ngapi wakiwa Vitani
Anaye Pigana naye Mbona kafanya Uchaguz
Marekan imeingia vitan rasmi mwaka 1942 na Marekani alipigana vita ugenini , ndan ya USA maisha yalikuwa yanaendelea kama kawaida , vita vya Urus na Ukrain vimepiganwa hasa ndan ya Ukraine na sio Urusi kwa zaid ya 95% ya Urusi maisha yalikua yanaendelea kama kawaida .

Tapunguze ushabiki wa kijinga
 
Nchi ikiwa kwenye vita haiwezi kufanya uchaguzi. Hata Uingereza wakati wa vita vikuu vya pili vya dunia haikufanya uchaguzi.
Lakini master wake kwenye vita ya wenyewe kwa wenyewe uchaguzi ulifanyika.
 
Back
Top Bottom