Raymanu KE
JF-Expert Member
- Jan 20, 2022
- 8,611
- 16,118
- Thread starter
-
- #21
You're always against everything.All women are devils.
Only your mother mighty be good to you, But she is still a devil to your father.
Wewe Ni muongo tu! Unadhani sisomagi nyuzi zako humu😂Ndio mkuu...😊
Kataa ndoa lialia mazee....😜
Huu usia Ni exclusive kwa wanaume wanaojiandaa kuoaUsia Wa kuoa tu wa kuolewa aaaaaa
Upo sahihi Kbsa mkuuMuhimu usiweke tumaini kwa mwanadamu
Kama Ni chai Basi inywe wewe
Sawa...sasa ije exclusive kwa wanawake wanaoolewa..Huu usia Ni exclusive kwa wanaume wanaojiandaa kuoa
Wewe Ni KE?Sawa...sasa ije exclusive kwa wanawake wanaoolewa..
nyuzi nyingi humu utaskia kijana ukitaka kuoa fanya hv na hivi?
NdioWewe Ni KE?
sinywi chai isiyo na tangawiziKama Ni chai Basi inywe wewe
Huo ujinga mwambie mkeosinywi chai isiyo na tangawizi
nenda kaipike tena
Can I marry you?Ndio
Hawapo.Shida yenu huwa mna- generalize na kusahau kwamba Kuna exceptional cases.
Bado Kuna wanawake wazuri Sana ambao wanaweza kuwa wife materials.
Wewe huna exposure ya kutosha ndo maana umesema hivoHawapo.
Je muoaji naye anajifanyia vetting ya kutosha?Salute comrades!
Hitmaker wa NIPENI MAUA YANGU, Roma Zimbabwe kupitia ukurasa wake wa Instagram amewausia vijana wa kiume wanaojiandaa kuoa kwamba wasikurupuke tu kufanya maamuzi ya kuoa bali wawafanyie wachumba wao " vetting" ya kutosha.
Roma amesema kabla hujamuoa huyo mchumba wako na kumfanya mkeo na mama ya watoto wako,Kwanza jiulize maswali muhimu yafuatayo;
👉Je, huyu mchumba wako ataweza kuwa mama Bora kwa watoto wako?
Ataweza kutekeleza majukumu yake ipasavyo kama mama kwa watoto wenu?
👉Kwa mfano ikitokea siku ukapatwa na msala mzito utakaopelekea wewe kufungwa jela kwa miaka kadhaa,Je,huyo mkeo ataendelea kuwa mwaminifu kwako kwa kukutunzia tunda lako pamoja kulea watoto au ndo ataanza kuhanya hanya?
Au atakuwa anachepuka kisiri Siri ili angalau apate Cha kuwalisha watoto wenu akisubiria umalize kifungo?
👉Ukikumbwa na anguko la kiuchumi ukafilisika kabisa,je, huyo mkeo ataendelea kukupenda na kukutia moyo upambane mpaka pale utakapoinuka tena kiuchumi au ndo atakuacha upambane na umasikini wako?
Ukishajiuliza hayo maswali matatu hapo juu then unaweza kufanya tathmini yako ili ubaine Kama huyo unayetaka kumfanya mkeo anaweza shinda hayo majaribu endapo yatatokea.
Kijana usiangalie tu shape na sura ya mwanamke Kisha ukakurupuka kuoa, maana unaweza ukajutia uamuzi wako baadae.
Uchunguzi Uchunguzi Uchunguzi mwisho kila mwanamke wameona hafaiSalute comrades!

Bado wapo wengi Sana wanaofaaUchunguzi Uchunguzi Uchunguzi mwisho kila mwanamke wameona hafai