Alfu Lela U lela
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 204
- 341
Hainihusu hii!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu ni uoga tuuhSalute comrades!
Hitmaker wa NIPENI MAUA YANGU, Roma Zimbabwe kupitia ukurasa wake wa Instagram amewausia vijana wa kiume wanaojiandaa kuoa kwamba wasikurupuke tu kufanya maamuzi ya kuoa bali wawafanyie wachumba wao " vetting" ya kutosha.
Roma amesema kabla hujamuoa huyo mchumba wako na kumfanya mkeo na mama ya watoto wako,Kwanza jiulize maswali muhimu yafuatayo;
👉Je, huyu mchumba wako ataweza kuwa mama Bora kwa watoto wako?
Ataweza kutekeleza majukumu yake ipasavyo kama mama kwa watoto wenu?
👉Kwa mfano ikitokea siku ukapatwa na msala mzito utakaopelekea wewe kufungwa jela kwa miaka kadhaa,Je,huyo mkeo ataendelea kuwa mwaminifu kwako kwa kukutunzia tunda lako pamoja kulea watoto au ndo ataanza kuhanya hanya?
Au atakuwa anachepuka kisiri Siri ili angalau apate Cha kuwalisha watoto wenu akisubiria umalize kifungo?
👉Ukikumbwa na anguko la kiuchumi ukafilisika kabisa,je, huyo mkeo ataendelea kukupenda na kukutia moyo upambane mpaka pale utakapoinuka tena kiuchumi au ndo atakuacha upambane na umasikini wako?
Ukishajiuliza hayo maswali matatu hapo juu then unaweza kufanya tathmini yako ili ubaine Kama huyo unayetaka kumfanya mkeo anaweza shinda hayo majaribu endapo yatatokea.
Kijana usiangalie tu shape na sura ya mwanamke Kisha ukakurupuka kuoa, maana unaweza ukajutia uamuzi wako baadae.
Basi pita kushoto Kama haikuhusuHainihusu hii!!
😂 wanapotezeana mudaMke wangu mtarajiwa yupo na boyfrie d wake saiv na haya mawingu acha kabisa anabinukajeee
Unachoongea ukijui , niliwahi kushuhudia jamaa anataka kumuua mke wake Kisha naye ajimalize wako mbungani huko mke anamuomba mmewe ampe nafasi ya mwisho akumbuke hata watoto so my friend be careful with your tongue.Ukijiuliza hayo maswali hutaoa.
Kwanza kwa Wanawake wa sasa na maisha ya sasa unajiuliza hayo yote yanini?
Anataka kuoa malaika?
Tusidanganyane hapa, mwanake tako sura na hips. Akili atatumia zangu. Nikifirisika yeye ruksa kwenda kwa wenye hela. Nikienda jela yeye ruksa kugegedwa na wanaume wengine.Salute comrades!
Hitmaker wa NIPENI MAUA YANGU, Roma Zimbabwe kupitia ukurasa wake wa Instagram amewausia vijana wa kiume wanaojiandaa kuoa kwamba wasikurupuke tu kufanya maamuzi ya kuoa bali wawafanyie wachumba wao " vetting" ya kutosha.
Roma amesema kabla hujamuoa huyo mchumba wako na kumfanya mkeo na mama ya watoto wako,Kwanza jiulize maswali muhimu yafuatayo;
👉Je, huyu mchumba wako ataweza kuwa mama Bora kwa watoto wako?
Ataweza kutekeleza majukumu yake ipasavyo kama mama kwa watoto wenu?
👉Kwa mfano ikitokea siku ukapatwa na msala mzito utakaopelekea wewe kufungwa jela kwa miaka kadhaa,Je,huyo mkeo ataendelea kuwa mwaminifu kwako kwa kukutunzia tunda lako pamoja kulea watoto au ndo ataanza kuhanya hanya?
Au atakuwa anachepuka kisiri Siri ili angalau apate Cha kuwalisha watoto wenu akisubiria umalize kifungo?
👉Ukikumbwa na anguko la kiuchumi ukafilisika kabisa,je, huyo mkeo ataendelea kukupenda na kukutia moyo upambane mpaka pale utakapoinuka tena kiuchumi au ndo atakuacha upambane na umasikini wako?
Ukishajiuliza hayo maswali matatu hapo juu then unaweza kufanya tathmini yako ili ubaine Kama huyo unayetaka kumfanya mkeo anaweza shinda hayo majaribu endapo yatatokea.
Kijana usiangalie tu shape na sura ya mwanamke Kisha ukakurupuka kuoa, maana unaweza ukajutia uamuzi wako baadae.
Bwana wee, wacha mtoto wa watu agegedwe maana kugegedana ni basic human needYaani me nifungwe huko mke wangu asiendele kula maisha.. Hi no aisee hata mimi sioni mantiki yake anyway kama atakuwa ana akili anunue toys ila swala la raha kumnyima mtu ni kumkosesha Haki yake ya msingi sana
Mimi ni Mwanaume, hapo umezungumzia scenario moja...njoo nikupe Scenario 10 nzito kuliko hiyo yako...unazungumzia habari ya aliyenusurika kufa....sisi tuna cases za vifoUnachoongea ukijui , niliwahi kushuhudia jamaa anataka kumuua mke wake Kisha naye ajimalize wako mbungani huko mke anamuomba mmewe ampe nafasi ya mwisho akumbuke hata watoto so my friend be careful with your tongue.