Usiache kula karanga kamwe

Usiache kula karanga kamwe

Tusirefushe mambo.

Ila ukirejea ulichandika kwenye komenti yako nilipokuquote mwanzo, utaona kwanini nilikujibu hivyo.

Ila tumeshaelewana.
 
Kila ninapoenda shopping huwa nanunua aina nyingi za karanga kwa kuwa sijui NUTS tunaitaje kiswahili ila ni peanuts, cashews, almonds, pistachios, macadamia, hazelnuts zote hizo nazichanganya pamoja na kutafuna

Nimezila miaka na hamuezi kuamini zinaondoa mpaka msongo wa mawazo pamoja na faida zingine
 
Ni baadhii ya vitu siwezi kula niko kwa watu wakati nalala kwao mana nitatia aibu.
-karanga
-tikiti
-fenesi
Na usishauri vijana wale baadhi ya vitu nilivyoorodhesha hapo kwa maendeleo mapana ya taifa letu.
Tikiti na fenesi yana shida gan haya
 
Daaah wakuu ,karanga mbichi nakula sanaa na napendelea sana kula,ilaa tatizo langu nikila sana, lanzima niende chooni,na napata choo kilaini sanaa mixture kuendesha..
Itakua unazidisha kiwango jaribu kula wastani
 
Ni baadhii ya vitu siwezi kula niko kwa watu wakati nalala kwao mana nitatia aibu.
-karanga
-tikiti
-fenesi
Na usishauri vijana wale baadhi ya vitu nilivyoorodhesha hapo kwa maendeleo mapana ya taifa letu.
Naomba elimu kidogo hapo kuhusu fenesi INA Virutubisho gani ? Mi ni mpezi wa Genesis, kuhusu Katanga najua INA madini ya zinc ambayo ndiyo yana Mchango katika afya ya mfumu wa uzazi kwa ujumla, kwa Shaka LA kuongea uwingi wa shahawa najua mbegu za maboga zona Mchango mkubwa na mama anaenyonyesha inamuongezea maziwa kwa wingi, lakini madini ya zinc yanapatikana pia kwenye samaki , mihogo, Nyama ya sungura, simbilisi na mbegu za maboga, lakini city Vivi havihukumiwi zinahukumiwa Katanga tuu
 
Sina hakika kuna madini humo yanayo fanya sperm kuwa nying sikufatilia hilo ila kuna group la watu tulio kula kwa hilo fenesi tukapa effects zinazo fanana.
 
Kuhusu kula Karanga na kupata choo lakini au kuendesha INA wezekana unakula Karanga zisizokuwa safi jaribu kuziosha ikiwezekana na maji ya moto ili Kuwa na vijidudu pia kula wastani wa kiganja kimoja kwa Siku, kwa kuongezea Faida Nyingine ya kula Katanga INA let's afya ya Moyo na kukukinga na ugonjwa wa kupooza mwili
 
Sawa fenedi kama lina Atari chanya Sawa na Katanga Basi litakuwa na madini ya zinc, na kwa Faida ya wengi zinc pia ni kinga dhidi ya tezi dume
Sina hakika kuna madini humo yanayo fanya sperm kuwa nying sikufatilia hilo ila kuna group la watu tulio kula kwa hilo fenesi tukapa ef
 
Sawa fenedi kama lina Atari chanya Sawa na Katanga Basi litakuwa na madini ya zinc, na kwa Faida ya wengi zinc pia ni kinga dhidi ya tezi dume
Ngoja tule karanga kwa wingi,,japo mdau mmoja kachangia hapo,eti ulaji karanga unasababisha mawe kwenye figo,hii si hatari tena hii...?
 
JE, UNAFAHAMU FAIDA ZA KARANGA KWENYE UBONGO WA BINADAMU.

NDIO UBONGO

HII NI SIRI ILIYOFICHIKA KWA MUDA SASA

FAIDA ZA KARANGA KWENYE MWILI WA BINADAMU NI PANA SANA

Karanga zina faida kadhaa kwa afya ya ubongo. Na hizi 👇👇ni chache 🤌🤏kati ya nyingi;

1. Lishe bora
Karanga zina protini, nyuzinyuzi, na mafuta yenye afya kama asidi ya oleik, ambayo inaweza kusaidia kutoa nishati ya utambuzi na kuboresha utendaji wa ubongo.

2. Vitamini na madini
Karanga zina vitamini na madini muhimu kama vitamini E na folate, ambavyo vinaweza kusaidia kulinda seli za ubongo na kukuza afya ya akili.

3. Antioxidants
Karanga zina antioxidants ambazo zinaweza kusaidia kulinda ubongo dhidi ya uharibifu unaosababishwa na radicals bure.

4. Kupunguza hatari ya magonjwa ya ubongo
Ulaji wa mara kwa mara wa karanga unaweza kupunguza hatari ya magonjwa ya ubongo kama vile Alzheimer's na Parkinson's.

5. Kiboreshaji cha kumbukumbu
Inaaminika kuwa karanga zinaweza kusaidia kuimarisha kumbukumbu na utendaji wa ubongo kwa ujumla.

Share kwa wote🙏
Ongezea : 6. Ulaji wa karanga mbichi husaidia sana kuimarisha afya ya moyo. Huzuia na kulinda moyo kupanuka.
 
Back
Top Bottom