Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,229
- 50,144
Wapi linawezekanaLa kwanza haliwezekan hapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapi linawezekanaLa kwanza haliwezekan hapa
Nyuma ya keyboardWapi linawezekana
Naijua hiyo 😂Nyuma ya keyboard
Umeijulia wapi😅Naijua hiyo 😂
Kitaani😅Umeijulia wapi😅
Kumbe nawe ni fundi mtaalamKitaani😅
umejaribu bado hamujasemakaranga zinaongeza shahawa.kilasiku lazima Nile robo yakaranga nashushia namaziwa freshi
Unahitaji Walnuts kwa wingikaranga zinaongeza shahawa.kilasiku lazima Nile robo yakaranga nashushia namaziwa freshi
Tikiti na fenesi yana shida gan hayaNi baadhii ya vitu siwezi kula niko kwa watu wakati nalala kwao mana nitatia aibu.
-karanga
-tikiti
-fenesi
Na usishauri vijana wale baadhi ya vitu nilivyoorodhesha hapo kwa maendeleo mapana ya taifa letu.
We una onja huli hayo matunda.Nikila tikiti nakula kiasi kwamva nafeel nmekula na nmesoma mkuranga,pwani usniambie kuhusu fenesi nmeyala sanaTikiti na fenesi yana shida gan haya
Itakua unazidisha kiwango jaribu kula wastaniDaaah wakuu ,karanga mbichi nakula sanaa na napendelea sana kula,ilaa tatizo langu nikila sana, lanzima niende chooni,na napata choo kilaini sanaa mixture kuendesha..
Naomba elimu kidogo hapo kuhusu fenesi INA Virutubisho gani ? Mi ni mpezi wa Genesis, kuhusu Katanga najua INA madini ya zinc ambayo ndiyo yana Mchango katika afya ya mfumu wa uzazi kwa ujumla, kwa Shaka LA kuongea uwingi wa shahawa najua mbegu za maboga zona Mchango mkubwa na mama anaenyonyesha inamuongezea maziwa kwa wingi, lakini madini ya zinc yanapatikana pia kwenye samaki , mihogo, Nyama ya sungura, simbilisi na mbegu za maboga, lakini city Vivi havihukumiwi zinahukumiwa Katanga tuuNi baadhii ya vitu siwezi kula niko kwa watu wakati nalala kwao mana nitatia aibu.
-karanga
-tikiti
-fenesi
Na usishauri vijana wale baadhi ya vitu nilivyoorodhesha hapo kwa maendeleo mapana ya taifa letu.
Malizia na hasara za ulaji wa karanga mara kwa mara zinaenda kutengeneza mawe kwenye Figo,Share kwa wote
Sina hakika kuna madini humo yanayo fanya sperm kuwa nying sikufatilia hilo ila kuna group la watu tulio kula kwa hilo fenesi tukapa effects zinazo fanana.Naomba elimu kidogo hapo kuhusu fenesi INA Virutubisho gani ? Mi ni mpezi wa Genesis, kuhusu Katanga najua INA madini ya zinc ambayo ndiyo yana Mchango katika afya ya mfumu wa uzazi kwa ujumla, kwa Shaka LA kuongea uwingi wa shahawa najua mbegu za maboga zona Mchango mkubwa na mama anaenyonyesha inamuongezea maziwa kwa wingi, lakini madini ya zinc yanapatikana pia kwenye samaki , mihogo, Nyama ya sungura, simbilisi na mbegu za maboga, lakini city Vivi havihukumiwi zinahukumiwa Katanga tuu
Sina hakika kuna madini humo yanayo fanya sperm kuwa nying sikufatilia hilo ila kuna group la watu tulio kula kwa hilo fenesi tukapa ef
Ngoja tule karanga kwa wingi,,japo mdau mmoja kachangia hapo,eti ulaji karanga unasababisha mawe kwenye figo,hii si hatari tena hii...?Sawa fenedi kama lina Atari chanya Sawa na Katanga Basi litakuwa na madini ya zinc, na kwa Faida ya wengi zinc pia ni kinga dhidi ya tezi dume
Ongezea : 6. Ulaji wa karanga mbichi husaidia sana kuimarisha afya ya moyo. Huzuia na kulinda moyo kupanuka.JE, UNAFAHAMU FAIDA ZA KARANGA KWENYE UBONGO WA BINADAMU.
NDIO UBONGO
HII NI SIRI ILIYOFICHIKA KWA MUDA SASA
FAIDA ZA KARANGA KWENYE MWILI WA BINADAMU NI PANA SANA
Karanga zina faida kadhaa kwa afya ya ubongo. Na hizi 👇👇ni chache 🤌🤏kati ya nyingi;
1. Lishe bora
Karanga zina protini, nyuzinyuzi, na mafuta yenye afya kama asidi ya oleik, ambayo inaweza kusaidia kutoa nishati ya utambuzi na kuboresha utendaji wa ubongo.
2. Vitamini na madini
Karanga zina vitamini na madini muhimu kama vitamini E na folate, ambavyo vinaweza kusaidia kulinda seli za ubongo na kukuza afya ya akili.
3. Antioxidants
Karanga zina antioxidants ambazo zinaweza kusaidia kulinda ubongo dhidi ya uharibifu unaosababishwa na radicals bure.
4. Kupunguza hatari ya magonjwa ya ubongo
Ulaji wa mara kwa mara wa karanga unaweza kupunguza hatari ya magonjwa ya ubongo kama vile Alzheimer's na Parkinson's.
5. Kiboreshaji cha kumbukumbu
Inaaminika kuwa karanga zinaweza kusaidia kuimarisha kumbukumbu na utendaji wa ubongo kwa ujumla.
Share kwa wote🙏