Au alizungumza akiwa anakutania tu jamn??? Alikuwa na sura IPI labdaHivi mkuu kwa akili ya kawaida tu condom inaweza vipi kumpendeza mtu?
Alikuwa ktk utan bhna em Fanya usimchukie mwenzakoAlikuwa na sura kama anabanjua Ganda la korosho
Hahahaaaaaaaa!!!!Nimeacha kuwaamini wanawake kabisa maana juzi nilikuwa chumbani na mpenzi wangu nikavua nguo zote na yeye akavua na baada ya hapo nikavaa kondomu.Ila sikuamini alichoniambia na ndio hapo ukawa mwisho wangu kumuamini mwanamke kabisa maisha yangu.
Wakuu naandika hapa kwa masikitiko makubwa sana baada ya mimi kubaki na kondomu tu nimeivaa halafu akaniambia "Baby umependeza"
Wakuu sikuwahi kudhani katika maisha yangu kuwa kondomu inaweza kumpendeza mtu na kusifiwa kabisa kuwa nimetoka chicha.
Nasisitiza kuwa sijaipokea sifa yake na sihitaji kuisikia na sitomwamini tena.
Hivi nani aliyekupa ruhusa ya kuweka avatar yenye nembo ya UDOM....??Nimeacha kuwaamini wanawake kabisa maana juzi nilikuwa chumbani na mpenzi wangu nikavua nguo zote na yeye akavua na baada ya hapo nikavaa kondomu.Ila sikuamini alichoniambia na ndio hapo ukawa mwisho wangu kumuamini mwanamke kabisa maisha yangu.
Wakuu naandika hapa kwa masikitiko makubwa sana baada ya mimi kubaki na kondomu tu nimeivaa halafu akaniambia "Baby umependeza"
Wakuu sikuwahi kudhani katika maisha yangu kuwa kondomu inaweza kumpendeza mtu na kusifiwa kabisa kuwa nimetoka chicha.
Nasisitiza kuwa sijaipokea sifa yake na sihitaji kuisikia na sitomwamini tena.
Yaani wewe jamaa nimecheka sana! Kunywa soda au chochote nakuja kulipa.[emoji3] [emoji3] [emoji3]Nimeacha kuwaamini wanawake kabisa maana juzi nilikuwa chumbani na mpenzi wangu nikavua nguo zote na yeye akavua na baada ya hapo nikavaa kondomu.Ila sikuamini alichoniambia na ndio hapo ukawa mwisho wangu kumuamini mwanamke kabisa maisha yangu.