Deadbody
JF-Expert Member
- May 30, 2015
- 4,274
- 6,595
Nimeacha kuwaamini wanawake kabisa maana juzi nilikuwa chumbani na mpenzi wangu nikavua nguo zote na yeye akavua na baada ya hapo nikavaa kondomu.Ila sikuamini alichoniambia na ndio hapo ukawa mwisho wangu kumuamini mwanamke kabisa maisha yangu.
Wakuu naandika hapa kwa masikitiko makubwa sana baada ya mimi kubaki na kondomu tu nimeivaa halafu akaniambia "Baby umependeza"
Wakuu sikuwahi kudhani katika maisha yangu kuwa kondomu inaweza kumpendeza mtu na kusifiwa kabisa kuwa nimetoka chicha.
Nasisitiza kuwa sijaipokea sifa yake na sihitaji kuisikia na sitomwamini tena.