Nobunaga
JF-Expert Member
- Mar 22, 2019
- 1,205
- 5,121
Range ya Zamaradi Ilivyopatikana.
Issue iko hivi Zamaradi alinunuaga nyumba kipindi yupo na Ruge, Ruge alimsaidia kununua hiyo nyumba. Then akanunua kiwanja mwenyewe kipindi yupo na Ruge, baada ya kuwa na Shabani wakaanza kujenga nyumba kwenye hiko kiwanja, ndiyo hiyo nyumba wanayoishi.
Sasa ni hivi Zamaradi ameuza nyumba aliosaidiwaga na Ruge kununua back in the day ndiyo kanunua hiyo range. Jamani Zamaradi kauza nyumba ndiyo akanunua hiyo gari. Hakuna cha mume kununua wala nini. Jamani maisha ya mitandaoni sio kabisaaa, usipokuwa makini unaweza kuhisi mumeo ni nyau kabisa.
Ila Zama watu wanamuonaga role model ila hamna kitu, sisemi kakosea kuuza nyumba kununua range, nyumba ni yake she has a right to do what she wants, tatizo ni kuleta kwa social media ku-show-off na kujifanya mume wake ndo kamnunulia.lkija suala la utoto wa show-off za kijinga Zama hana tofauti na wajinga wengine kwenye socia medias.