Usiamini kila unachokiona mtandaoni, Zamaradi hajanunuliwa gari na Mume wake

Usiamini kila unachokiona mtandaoni, Zamaradi hajanunuliwa gari na Mume wake

Zama kwa drama n master class. Yeye hua anaziandaa kwa akili kubwa sna tofauti na bwanyenye wengine
Kwa hilo namkubali. Hila huyu mme kamfichia maumivu mengi aliyopewa na Ruge. Ruge katumia weeeee alaf katema kachukua Nandy. Hiki kitu kimemkaa moyoni sana ndio maana anatumia drama nyingi sana kumweka mume wake ambaye hajulikani mjini kuwa juu.
 
Kwa hilo namkubali. Hila huyu mme kamfichia maumivu mengi aliyopewa na Ruge. Ruge katumia weeeee alaf katema kachukua Nandy. Hiki kitu kimemkaa moyoni sana ndio maana anatumia drama nyingi sana kumweka mume wake ambaye hajulikani mjini kuwa juu.
Nakubali kabsa
 
Range ya Zamaradi Ilivyopatikana.

Issue iko hivi Zamaradi alinunuaga nyumba kipindi yupo na Ruge, Ruge alimsaidia kununua hiyo nyumba. Then akanunua kiwanja mwenyewe kipindi yupo na Ruge, baada ya kuwa na Shabani wakaanza kujenga nyumba kwenye hiko kiwanja, ndiyo hiyo nyumba wanayoishi.

Sasa ni hivi Zamaradi ameuza nyumba aliosaidiwaga na Ruge kununua back in the day ndiyo kanunua hiyo range. Jamani Zamaradi kauza nyumba ndiyo akanunua hiyo gari. Hakuna cha mume kununua wala nini. Jamani maisha ya mitandaoni sio kabisaaa, usipokuwa makini unaweza kuhisi mumeo ni nyau kabisa.

Ila Zama watu wanamuonaga role model ila hamna kitu, sisemi kakosea kuuza nyumba kununua range, nyumba ni yake she has a right to do what she wants, tatizo ni kuleta kwa social media ku-show-off na kujifanya mume wake ndo kamnunulia.lkija suala la utoto wa show-off za kijinga Zama hana tofauti na wajinga wengine kwenye socia medias.

View attachment 2415164
Mjinga ndo angeamini yule mishen town kununua the so called range. Kizuri watu walijuwa hilo na kumchana pale pale kwenye pg yake
 
Labda kama anajihusisha na kazi ya kufanya upunda?!

Hata hivyo upunda haunaga hela nyingi za kununua range inavyosemekana!
 
Kinachoniacha hoi ni kuwa wanaume ndo wanaongoza kumsema na kumdiss zama, uwiiiiioh

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndio, kwa sababu anafanya wenzake watuone mafala
 
Huwa naamini kuna kitu hakipo sawa kwenye ubongo wa waafrika wengi ikiwemo na Tanzania. Yaani hata kama mtu amejinunulia it's okay! Ni furaha yake kufake maisha, ameamua hivyo but wewe inakuuma nini? Why tunakuwa so serious kiasi hiki katika kufuatilia maisha ya mtu na kusimama kidete kabisa ili uoneshe dunia kuwa huyu mtu ana udhaifu huu? Inatusaidia nini? Frankly speaking watu ambao tunawazidi kiuchumi ndiyo huwa wako busy kufuatilia maisha ya waliofanikiwa. Pia wanaugua Sana pale mtu anapofanikia. Africans [emoji119]
Nahisi tatizo kadanganya
 
Back
Top Bottom