Usiamini kila unachokiona mtandaoni, Zamaradi hajanunuliwa gari na Mume wake

Acha tuitwe masikini 2022 kununua gari ambayo waarabu wanafanyia drifting mchangani nayo imekuwa big issue
nilikuwa sijui kama magari waarabu wanayauza bei nzuri, kwani wakiyafanyia drifting yanakuwa yameharibika nini/yamepungua nini?
 
nampongeza kwa kununua gari ambayo huwa naipenda. najua kuna siku hata mimi nitakuja kununua tu. though, huwa simkubali huyu dada kwa kitu kimoja tu, pale alipotoa voicenotes za Ruge akiwa anambembeleza, niliona ameunyanyasa sana umma wa wanaume, na toka siku hiyo huwa simkubali. hawezi kutudhalilisha kiasi kile.
 
Mkuu haijalishi waarabu wanaifanyia drifting hata huko mbele bado ni gari la heshima. Waarabu wanafanya mengi hadi magari ya kifahari kuyafanya ndo magari ya polisi
Ferrari kwa Uarabuni ndo gari za sungusungu
 
Vyovyote vile, ila kamheshimisha mumewe.... Mkuu hujawahi kwenda outing na kipenzi chako (kama wewe ni me) na siku hyo wallet haina kitu na upo labda na ka shem darling pembeni, unapatiwa pesa na bidada ili ulipe bills Kukufichia soo kwa ka shem darln' kasije kukuona mwanaume suruali?
I did the same thing today
 
Huwa naamini kuna kitu hakipo sawa kwenye ubongo wa waafrika wengi ikiwemo na Tanzania. Yaani hata kama mtu amejinunulia it's okay! Ni furaha yake kufake maisha, ameamua hivyo but wewe inakuuma nini? Why tunakuwa so serious kiasi hiki katika kufuatilia maisha ya mtu na kusimama kidete kabisa ili uoneshe dunia kuwa huyu mtu ana udhaifu huu? Inatusaidia nini? Frankly speaking watu ambao tunawazidi kiuchumi ndiyo huwa wako busy kufuatilia maisha ya waliofanikiwa. Pia wanaugua Sana pale mtu anapofanikia. Africans [emoji119]
 
Umetumia kipimo gani kujua kuwa watu kimewauma?

Watu wametoa maoni yao baada ya wao kujirusha kwenye social media.

Kila mtu na mtazamo wake!

Penye wengi hapakosi kuwa na mengi!

Mlitegemea watu wote wampongeze wakati kama ni uongo unatakiwa uongepee wasokujua lakini wanaokujua huwa sio rahisi kukuelewa.

Wapo watu wanaomjua Zama na wapo wanaomjua huyo fundi garage wake [emoji108]
 
Hata wewe hujui chanzo cha fedha ya Zamaradi aliyotumia kununua hiyo Range. Kuna mzito yuko Serikalini anasimamia tozo ndiye kamhonga. Jina la huyo mtu linaanza na M.. na la pili N..
Mlugaluga Mwigulu, ila jamaa limbukeni sana wa konyee anaweza akakahonga kweli kale kakaukau.
 
Umetumia kipimo gani kujua kuwa watu kimewauma?

Watu wametoa maoni yao baada ya wao kujirusha kwenye social media.

Kila mtu na mtazamo wake!

Penye wengi hapakosi kuwa na mengi!

Mlitegemea watu wote wampongeze wakati kama ni uongo unatakiwa uongepee wasokujua lakini wanaokujua huwa sio rahisi kukuelewa.

Wapo watu wanaomjua Zama na wapo wanaomjua huyo fundi garage wake [emoji108]
Zamaradi anamiliki Range Rover Vogue au hamiliki???

Tuanzie hapa kwanza
 
Huwa naamini kuna kitu hakipo sawa kwenye ubongo wa waafrika wengi ikiwemo na Tanzania. Yaani hata kama mtu amejinunulia it's okay! Ni furaha yake kufake maisha, ameamua hivyo but wewe inakuuma nini? Why tunakuwa so serious kiasi hiki katika kufuatilia maisha ya mtu na kusimama kidete kabisa ili uoneshe dunia kuwa huyu mtu ana udhaifu huu? Inatusaidia nini? Frankly speaking watu ambao tunawazidi kiuchumi ndiyo huwa wako busy kufuatilia maisha ya waliofanikiwa. Pia wanaugua Sana pale mtu anapofanikia. Africans [emoji119]
Hii ngozi ina laana ya asili,
Haishangazi tunavyoitwa 'Bara Giza'
 
Back
Top Bottom