Akilinjema
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 11,430
- 11,813
Ndiyo,yale ya basila mwanukuz aliponunua hammer wacha watu wampigie kelele,utafikiri pesa zao
[emoji1]
Ova
Yupi yule DC wa Koogwe ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo,yale ya basila mwanukuz aliponunua hammer wacha watu wampigie kelele,utafikiri pesa zao
[emoji1]
Ova
Wewe ni exceptional my love🤣🤣Kama mimi🤣🤣🤣🤣🤣🙈🙈🙈
nilikuwa sijui kama magari waarabu wanayauza bei nzuri, kwani wakiyafanyia drifting yanakuwa yameharibika nini/yamepungua nini?Acha tuitwe masikini 2022 kununua gari ambayo waarabu wanafanyia drifting mchangani nayo imekuwa big issue
Huyo huyo
Ova
Ndivyo alivyoamua yeye mkuu, kwani wewe unaathirika na chochote?Kwa huko ku-fake life ?
Ferrari kwa Uarabuni ndo gari za sungusunguMkuu haijalishi waarabu wanaifanyia drifting hata huko mbele bado ni gari la heshima. Waarabu wanafanya mengi hadi magari ya kifahari kuyafanya ndo magari ya polisi
I did the same thing todayVyovyote vile, ila kamheshimisha mumewe.... Mkuu hujawahi kwenda outing na kipenzi chako (kama wewe ni me) na siku hyo wallet haina kitu na upo labda na ka shem darling pembeni, unapatiwa pesa na bidada ili ulipe bills Kukufichia soo kwa ka shem darln' kasije kukuona mwanaume suruali?
Ndivyo alivyoamua yeye mkuu, kwani wewe unaathirika na chochote?
Who knows?Cha msingi wanapendana mengine watajua wenyewe
Huwa naamini kuna kitu hakipo sawa kwenye ubongo wa waafrika wengi ikiwemo na Tanzania. Yaani hata kama mtu amejinunulia it's okay! Ni furaha yake kufake maisha, ameamua hivyo but wewe inakuuma nini? Why tunakuwa so serious kiasi hiki katika kufuatilia maisha ya mtu na kusimama kidete kabisa ili uoneshe dunia kuwa huyu mtu ana udhaifu huu? Inatusaidia nini? Frankly speaking watu ambao tunawazidi kiuchumi ndiyo huwa wako busy kufuatilia maisha ya waliofanikiwa. Pia wanaugua Sana pale mtu anapofanikia. Africans [emoji119]
Safi sana. Ndivyo inavyotakiwa kuwa.I did the same thing today
🤣🤣🤣🤣🤣Wewe ni exceptional my love🤣🤣
Mlugaluga Mwigulu, ila jamaa limbukeni sana wa konyee anaweza akakahonga kweli kale kakaukau.Hata wewe hujui chanzo cha fedha ya Zamaradi aliyotumia kununua hiyo Range. Kuna mzito yuko Serikalini anasimamia tozo ndiye kamhonga. Jina la huyo mtu linaanza na M.. na la pili N..
Zamaradi anamiliki Range Rover Vogue au hamiliki???Umetumia kipimo gani kujua kuwa watu kimewauma?
Watu wametoa maoni yao baada ya wao kujirusha kwenye social media.
Kila mtu na mtazamo wake!
Penye wengi hapakosi kuwa na mengi!
Mlitegemea watu wote wampongeze wakati kama ni uongo unatakiwa uongepee wasokujua lakini wanaokujua huwa sio rahisi kukuelewa.
Wapo watu wanaomjua Zama na wapo wanaomjua huyo fundi garage wake [emoji108]
Hii ngozi ina laana ya asili,Huwa naamini kuna kitu hakipo sawa kwenye ubongo wa waafrika wengi ikiwemo na Tanzania. Yaani hata kama mtu amejinunulia it's okay! Ni furaha yake kufake maisha, ameamua hivyo but wewe inakuuma nini? Why tunakuwa so serious kiasi hiki katika kufuatilia maisha ya mtu na kusimama kidete kabisa ili uoneshe dunia kuwa huyu mtu ana udhaifu huu? Inatusaidia nini? Frankly speaking watu ambao tunawazidi kiuchumi ndiyo huwa wako busy kufuatilia maisha ya waliofanikiwa. Pia wanaugua Sana pale mtu anapofanikia. Africans [emoji119]