Usiamini kila unachokiona mtandaoni, Zamaradi hajanunuliwa gari na Mume wake

Usiamini kila unachokiona mtandaoni, Zamaradi hajanunuliwa gari na Mume wake

Kinachoniacha hoi ni kuwa wanaume ndo wanaongoza kumsema na kumdiss zama, uwiiiiioh

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Range ya Zamaradi Ilivyopatikana.

Issue iko hivi Zamaradi alinunuaga nyumba kipindi yupo na Ruge, Ruge alimsaidia kununua hiyo nyumba. Then akanunua kiwanja mwenyewe kipindi yupo na Ruge, baada ya kuwa na Shabani wakaanza kujenga nyumba kwenye hiko kiwanja, ndiyo hiyo nyumba wanayoishi.

Sasa ni hivi Zamaradi ameuza nyumba aliosaidiwaga na Ruge kununua back in the day ndiyo kanunua hiyo range. Jamani Zamaradi kauza nyumba ndiyo akanunua hiyo gari. Hakuna cha mume kununua wala nini. Jamani maisha ya mitandaoni sio kabisaaa, usipokuwa makini unaweza kuhisi mumeo ni nyau kabisa.

Ila Zama watu wanamuonaga role model ila hamna kitu, sisemi kakosea kuuza nyumba kununua range, nyumba ni yake she has a right to do what she wants, tatizo ni kuleta kwa social media ku-show-off na kujifanya mume wake ndo kamnunulia.lkija suala la utoto wa show-off za kijinga Zama hana tofauti na wajinga wengine kwenye socia medias.

View attachment 2415164
Nakusahihisha tu kwenye ka sentensi ka mwisho. Hatuna neno medias!! Wingi ni media dada.
 
Great thinkers hatuna mda mchafu wa kufatilia maisha ya watu ,tunadeal na kuchambua maendeleo Tanzania na Watanzania kiujumla
 
Kwani wewe ni mwanamke? Ungekuwa mwanaume usingeshangaa kwa kuwa wanaume wana vigezo tofauti wanapotafuta wanawake
Hiyo hint aliyekupa mkimbie siku nyingine asikulishe uongo. Behind the scene ya hilo gari sio kigogo kumgonga Zamaradi. Filter na make up zinawachanganya njaa kali ila sio wazinzi kama huyo kigogo unayemtaja
 
Vyovyote vile, ila kamheshimisha mumewe.... Mkuu hujawahi kwenda outing na kipenzi chako (kama wewe ni me) na siku hyo wallet haina kitu na upo labda na ka shem darling pembeni, unapatiwa pesa na bidada ili ulipe bills Kukufichia soo kwa ka shem darln' kasije kukuona mwanaume suruali?

Kwa huko ku-fake life ?
 
Hata wewe hujui chanzo cha fedha ya Zamaradi aliyotumia kununua hiyo Range. Kuna mzito yuko Serikalini anasimamia tozo ndiye kamhonga. Jina la huyo mtu linaanza na M.. na la pili N..

Hapo awali ilisemekana Hamisa kumbe sio !

Hadi kupewa ubalozi wa mapato?!
 
Wewe umesema ukweli. Yule mshikaji toka kitambo anajulikana alikua HOUSE BOY wa Mshua mmoja pale Osterbay, ile kupewa pewa V8 kwenda kuosha osha ndio akamnasa ZAMARADI

[emoji13][emoji38][emoji14]
 
Narudia kuandika....
Social media life laweza kufanya uone mwanaume wako kibwengo au kijini kipo kwenye maisha yakooo..

Kumbe partner wako ana struggle muwe bora zaidi...
Mungu awabariki wanaume wote mnaopambana kutafuta hela.. Ila nyie mnaopambana kutafuta nyuchi na nyie mbarikiwe pia.
 
We kweli ni mwanaume? Kama jibu ni ndio em jitazame matakon kama uko salama
 
Hivi kumbe mjadala bado ulikua una endelea[emoji23][emoji848]
 
Mnataka kumpangia pesa yake

Ehe,haya mlitaka aitumiaje????

Ova
 
Back
Top Bottom