Usianzishe biashara wala kutafuta kazi kupitia waganga wa kienyeji

Kwahiyo unataka kutuambia kuwa haya uliyo andika , ww ndie mkweli? Au ndio mjuaji wa ushirikina kuliko wengine au?
 
Usiache kufanya ushirikina kwa sababu tu hauna mafanikio na una athari, lkn acha ushirikina kwa kutubu na kumrejea Mungu kwa kuwa ÀMEHARAMISHA ushirikina/uchawi, utasalimika.
 
Usiache kufanya ushirikina kwa sababu tu hauna mafanikio na una athari, lkn acha ushirikina kwa kutubu na kumrejea Mungu kwa kuwa ÀMEHARAMISHA ushirikina/uchawi, utasalimika.
Kuna wengine hawaamini katika Mungu na kuna baadhi ya imani zinaukubali ushirikina kama nguvu asilia
 
Baba nimekutumia ujumbe pm ila hauendi
 
Mkuu mlozi je unaweza kuwa business man tycoon bila ndumba ? Uje utuelezee vizuri Mkuu ili tupate mwanga
 
sasa kuna hawa washirikina wanatumia biblia kutibu, kufanya upako, na miujiza.
 
Mwenye sikio na asikie roho wa bwana anena na kanisa 🙏
 
Sasa Mshana hebu tuambie wewe katika hao 100 ulikuwa kundi gani. Kwenye hao 10 au 90? Na kama ulikuwa katika hao kumi je ulikuwa kwenye wale 5 wasio na masharti magumu au kundi jingine.

Na kama ulikuwa kwa wale 90 ni kwanini.
Ana stori nyingi..
 
Sahihi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…