Usibonyeze Ujumbe huu wa Matangazo ya Zawadi uwapo Mtandaoni

Usibonyeze Ujumbe huu wa Matangazo ya Zawadi uwapo Mtandaoni

Wild Flower

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2023
Posts
378
Reaction score
766
Epuka kubonyeza 'link' za matangazo ya Zawadi uwapokuwa unapokuwa kwenye tovuti mbalimbali kwani ni njia inayotumika na Wadukuaji kupata taarifa zako binafsi kwa ajili ya utapeli.

Ikiwa umegusa epuka kujaza taarifa zao binafsi kama barua pepe, password, majina kamili, taarifa za Kibenki, mwaka wa kuzaliwa kwani zinaweza kutumia vibaya

Matangazo haya huwa sio ya kweli kwani njia hii hutumika na Wahalifu wa Mtandaoni kufanya utapeli

1721973929291.png

Fuata Hatua hizi Iwapo umebonyeza Ujumbe huu:
  • Epuka kujaza taarifa zako binafsi unapoletewa ujumbe huu kwani unampa mdukuzu nafasi ya kupata taarifa hizo
  • Zima intaneti unayotumia ili kuepuka kuathiri vifaa vingine kwenye mtandao
  • Kagua kama ‘virus’ imepakuliwa ulivyobofya ujumbe huu
  • Badilisha Nywila yako ili Mdukuzi asiweze kupata taarifa zako hasa kwenye akaunti za benki na kutuma pesa
 
Back
Top Bottom