KICHUMVI
Senior Member
- Aug 12, 2012
- 113
- 14
Wana jf, kuweni makin na uchaguzi wa course isiwe kigezo eti ni priority nyie ndio mnaokuja kuandamana mishahara midogo na maisha ni magumu kuna baadhi ya course utakaa mtahani mpaka utarudi chuo kuanza course mpya so nashauri ni bora upate boom asilimia ndogo lakina unatoka na kitu chenye soko