Usichague course kwasababu ya boom

Usichague course kwasababu ya boom

KICHUMVI

Senior Member
Joined
Aug 12, 2012
Posts
113
Reaction score
14
Wana jf, kuweni makin na uchaguzi wa course isiwe kigezo eti ni priority nyie ndio mnaokuja kuandamana mishahara midogo na maisha ni magumu kuna baadhi ya course utakaa mtahani mpaka utarudi chuo kuanza course mpya so nashauri ni bora upate boom asilimia ndogo lakina unatoka na kitu chenye soko
 
Ni sawa kabisa uliyosema!!! lakini yako relevant tu kwa mtu anayeweza kutop up pesa iliyosalia!! na pia je unafahamu kuna baadhi ya wanafunzi watakao jiunga na vyuo bado wanadaiwa ada zao za o-level au a-level?? ije kuwa 60% au 40% lets say ya Tumaini au LLB pale UDSM?? achilia mbali mambo ya accomodation na maisha mengine ya chuo. Hakuna mtu anayependa kuwa na madeni na HELSB ni shida tu zinasababisha yote haya mambo ya kukopa na kusoma kozi ambayo kimsingi mtu haipendi!!!
Na pia kozi yenye soko kwa ulimwengu na elimu ya Tanzania ni ipi? kwa mtazamo wangu kozi nyingi sana za arts zinazosomwa na wanafunzi zaidi ya 60% soko lake in two years to come kama sio sasa hali itakuwa ngumu sana i mean soko lake litakuwa saturated sana in both sides kujiajiri au kuajiliwa!!
 
Sas mdau kat ya coz zenye priority na non priority we unafikir nizip zenye soko hapa tz?

sasa si ndio hapo !! Embu ngoja aje atujuze vizuri xo mpango mzima anamaanisha wale wote waliosoma medicene,nursing,engineerz watatoka empty set miaka ijayo
 
Labda alaf account,law,sociallogy,political science ndo zinasoko ukimaliza 2 ajira unapata 2juze kaka.

hUyu jamaa ni mwongo 100% !! Kwa sababu serikali ina lao jambo kutoka mkopo kwa kozi husika na kutokutoa kwa hizo Nyingne
 
priority + Mkopo + guarantee ya kazi
niende wapi tena?? wakati nakesha school watu walikuaga wananicheka class nasinzia kisa wao walikua arts (mtelezo) leo yakowapi nakula 100% bila gobo, ila nawaombea kwa mungu kila mmoja apate at least 50%,
science pays bisha usibishe
 
priority + Mkopo + guarantee ya kazi
niende wapi tena?? wakati nakesha school watu walikuaga wananicheka class nasinzia kisa wao walikua arts (mtelezo) leo yakowapi nakula 100% bila gobo, ila nawaombea kwa mungu kila mmoja apate at least 50%,
science pays bisha usibishe

daah !! Kweli bhana yaani science ilivyotyt vile afu watuzingue kwenye suala la mkopo itakuwa sio pouwa kabisa daah
 
Mpaka tutakapofikia hatua ya kuelewa kuwa elimu ni daraja la mtu kupita ili afanye maisha yasonge mbele ndipo tutakapogundua kuwa course yoyote ni daraja tu mengine ni mtu mwenyewe. Kwani nini hatujiulizi kuwa kuna watu wametajirika kwa kuwa wafanyabiashara, waimbaji, wachumi, madaktari, waandishi wa habari au waandishi wa vitabu, ma MCs, mainjinia, wanasheria nk.

Elimu ni daraja, mengine ni ya mtu mwenyewe anavyojishughulisha yeye na mazingira yake.
 
Wana jf, kuweni makin na uchaguzi wa course isiwe kigezo eti ni priority nyie ndio mnaokuja kuandamana mishahara midogo na maisha ni magumu kuna baadhi ya course utakaa mtahani mpaka utarudi chuo kuanza course mpya so nashauri ni bora upate boom asilimia ndogo lakina unatoka na kitu chenye soko

ulikua wap cku zote hizo?saii watu wanasubiri mkopo we unaleta mambo ya selection,
ok,mimi mwenyewe nilipenda sana kusoma Mass com ya Ud na nilikua eligible lakini kuulizia niliambiwa iko nje ya main compus,kila cku inabidi nipande matatu kwenda chuo,au nipangishe karbu na chuo,ada yake ni 1.3m,hapo sijui ka ntapewa ela ya msoc,hapo cna mtu wa kunilipia we unafikiri iyo ela itaanguka kama mana kutoka mbingun,kama umebahatika kusoma kitu unacho kipenda say thanks 2 the Lord,ANYWAY LYF STILL GOES ON
 
priority + Mkopo +(( guarantee ya kazi ))niende wapi tena?? wakati nakesha school)) watu walikuaga ((()wananicheka class )))nasinzia kisa wao walikua arts (mtelezo) KWENYE HIZO ALAMA UNAUHAKIKA?
 
mnanipa raha sana asee ila msijali hata ukikosa kama una uwezo wa kulipa we soma mbona mi nimeweza na c kwamba ni tajiri sana MUNGU YUPO ATAKUSAIDIA
 
UNAWEZA UKAWA SCIENCE NA UKAKOSA MKOPO PIA IYO NI BAHATI ZINGINE NI POROJO TU ZA BODI nakwambia kama huamini subiri utajionea
 
UNAWEZA UKAWA SCIENCE NA UKAKOSA MKOPO PIA IYO NI BAHATI ZINGINE NI POROJO TU ZA BODI nakwambia kama huamini subiri utajionea

I agree with You kua science sio kwamba 100% utapata mkopo
 
Back
Top Bottom