Picha hii inatumia fumbo linalojulikana sana la "nyundo na msumari" kuwakilisha mabadiliko ya nguvu na mamlaka katika maisha. Inakuhimiza kukumbuka mapambano na magumu uliyopitia—sio kwa ajili ya kuweka kinyongo au chuki—bali kuhakikisha kwamba unapopata udhibiti, mafanikio, au mamlaka, unachukua hatua madhubuti bila kuacha nafasi ya kufanya makosa au kuonyesha udhaifu.Kasheshe.
Kusamehe hakumaanishi kwamba alichokufanya ni sawa, bali kunakupa wewe amani ya moyo na kukulinda usifanye maamuzi yatakayokugharimu baadaye. Ulipaji kisasi mara nyingi huongeza matatizo badala ya kutatuaDah , acha basi nimsamehe tu maana nilimpania kumvunja mguu kwa kunidhulumu ..
Katika uwanja wa uwepo wa mwanadamu, Ukatili umeigaragaza Nguvu 7-0, ukidhihirisha kuwa nguvu ya kawaida mara nyingi husukumwa pembeni na ubabe usio na mipaka unaovunja sheria zote za utu.Nguvu vs ukatili.
0 vs 7.
Huruma vs udhaifu.
3 vs 0.
Full time 90min
Kaka umepitia mengiPicha hii inatumia fumbo linalojulikana sana la "nyundo na msumari" kuwakilisha mabadiliko ya nguvu na mamlaka katika maisha. Inakuhimiza kukumbuka mapambano na magumu uliyopitia—sio kwa ajili ya kuweka kinyongo au chuki—bali kuhakikisha kwamba unapopata udhibiti, mafanikio, au mamlaka, unachukua hatua madhubuti bila kuacha nafasi ya kufanya makosa au kuonyesha udhaifu.
Wakati nikiwa MSUMARI Dunia haikupunguza nguvu kubalance.Bonge moja la Uzi mkuu,ubarikiwe sana.
Ni HURUMA na UDHAIFU.
NGUVU na UKATILI.
Wakati nikiwa MSUMARI Dunia haikupunguza nguvu kubalance.
Sasa na Mimi Leo nimekuwa NYUNDO si dhaifu tena🔥
Mshana Jr Acha siasa (joke)😂
Umesema kweli. Nguvu ya kweli si kuumiza kila unapoweza, bali kujua lini kuwa mpole na lini kuwa imara. 💯Wakati ulikuwa msumari, ulijifunza kwamba dunia haipunguzi nguvu kwa sababu wewe unaumia. Sasa ukiwa nyundo, usisahau somo hilo.
Lakini mpiganaji mwenye akili hapigi kila kitu anachokiona. Anajua wapi apige, lini apige, na ni pigo gani litakalomaliza vita badala ya kuanzisha vita vingine.
Nguvu isiyotawaliwa na akili ni hasira tu yenye silaha.
Ukifika wakati wa kutumia nguvu, usisite. Lakini tumia nguvu kwa kusudi, si kwa kulipiza maumivu uliyowahi kuyapata.View attachment 3675444