Usichanganye Imani yako na Biashara,si nzuri inakupotezea wateja

Ni kweli kuna biashara/watu maisha yao hata wakiwa hivyo ni sawa tu

mtu anafanya biashara ya kuuza Biblia/Misaafu/vitabu vya dini hawa watu

ni haki yao kuonyesha imani zao hadharani maana ndio matangazo yao

mtu anauza CD za kwaya n haki yake kbsa kupga nyimbo za kwaya kazini

sasa mtu ana BUCHA LA NYAMA unaingia bushani unakutana na mahubiri/mawaidha.😡
 

Unafanya biashara gani?

Au ndo tupo mahome?
 
sipendi hiyo tabia ki ukweli,yani watu wana show off za ajabu halafu

ukifuatilia hao watu maisha yao yana madhambi hata shetani aende tuition.
 
Dini ilitakiwa ndio ziwe mstari wa mbele kuoneshana upendo baina ya dini moja na nyingine lakini imekua tofauti sana

Kufikia hatua ya kusema muislamu ndugu yake ni muislamu hiyo sio hatua nzuri hata kidogo. Kwasababu unajenga uhasama kwa wasio waisilamu na point nzima ya kusema dini yako ndio ya amani na haki inafifia. Endapo itikadi hizi zikiwekwa kwenye biashara utajikuta unawapoteza baadhi ya wateja ambao mko tofauti kidini

Wakristo nao vile vile unakuta wanasema huwezi kwenda mbinguni bila ya kumfuata yesu, sasa wakianza kuweka mabandiko ya yesu madukani mwao itawaletea mgawanyo kwasababu waislamu wanaweza kupiga marufuku watoto kwenda kununua bidhaa kwenye duka la mkrsto wakisema ni kafir
 
Ww si umesema kuwa Muislam ndugu yake Muislam, sijakataa sasa kama ww si Muislam basi utakua na Imani yako agaist hio Uislam, je lini ulibaguliwa na Muislam kwa kufungua bucha la kitimoto na zenji sehemu gani? NB:jizungumzie kama ww ulete na ushahidi, lini ulibaguliwa zenji kwa kufungua bucha?
Imani ipi niliyo nayo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyie watu watu nyie!!! Mbona hizi mada zinaibuka sana mwezi huu wa ramadhani? Kipindi mabasi ya mikoani yanapiga kwaya mwanzo mwisho mlikuwa wapi kushauri?
 
Biashara ni malengo na mbinu.

Na kwasababu mbinu ni akili na uwezo na hutofautiana kwa kila mtu, hapo ndio wengine wanaposhindwa mbinu hutumia DINI au KABILA kwenye ushindani.
Hii ipo sana pia kwa wanasiasa wenye uwezo mdogo

Mfano: Mimi Chuoni kwetu kulikuwa na stationery nyingi na hivyo kufanya ushindani uwe mkubwa.
Kwasababu hiyo jamaa mmoja yeye akaamua kuweka Tangazo kabisa mlangoni "Kwa Ustaadh ........" ili angalau watu wa imani yake waende kwake

Na Unavyojua mambo ya imani/dini/kabila yanajenga upendeleo na hakutakuwa tena na matumizi ya akili, yatakayoleta QUALITY
 
Acha ujinga, unatakiwa ujuwe mbali na alicho sema mleta mada pia kuna wengine hawana dini kabisa je? unafikiri atarudi? pia sio wote wanapenda Ma udi udi na Mahubiri/Mawaidha muda wote...Kila Kitu na Muda wake na Kwa mtu sahihi.
 
We dada pussy tuliza mshono, ww kilichokupeleka dukani ni mawaidha au kununua na kuondoka? Usimpangie nn mtu cha kufanya dukani kwake, ww kama ukiona kero sepa, 2) Acha maneno ya shombo siku ya 2 kuwa na heshima sio unaropokwa tu coz apa tunajadiliana kila mmoja yuko free kutoa mawazo fack... Pussy
Acha ujinga, unatakiwa ujuwe mbali na alicho sema mleta mada pia kuna wengine hawana dini kabisa je? unafikiri atarudi? pia sio wote wanapenda Ma udi udi na Mahubiri/Mawaidha muda wote...Kila Kitu na Muda wake na Kwa mtu sahihi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
bila kusau salamu wanazotumia sana sana waislam, kila mtu wanaemuona ni salam aleku tu...
ukiwauliza utasikia salam aleku ni lugha ya kawaida tu kama za asubuh, asa kama lugha ya kawaida mbona haitumiki kanisani!!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Binafi hii ya kuchoma udi hua inanikera kwel mimi na nikipita duka hilo huwa sirudi tena
 
Umenena vema,lakini sio watu wa dini tu Bali kwa upande mwingine hata mambo yanayokwenda kunyume na dini yanaweza kuwa ni kikwazo kwa mtu wa duni mfano kama miziki n.k kwa mtu wa dini anakuwa anakerwa.

So mi naona ni muhimu kwa kwa mfanyabiashara kuwa makini na yale mambo ambayo yatakuwa ni kero kwa wateja wake ili kuwavutia.

Wakati mwingine mtu anaweza kuwa anafanya lilelile jambo ambalo hata wewe unalifanya ila kwa namna anvyolifanya ikawa ni kero kwako.
 
bila kusau salamu wanazotumia sana sana waislam, kila mtu wanaemuona ni salam aleku tu...
ukiwauliza utasikia salam aleku ni lugha ya kawaida tu kama za asubuh, asa kama lugha ya kawaida mbona haitumiki kanisani!!?

Sent using Jamii Forums mobile app
Aaah mkuu nitakuwa nawauliza pia. Mtu ni mmanyema hajawahi fika hata Oman na Kiarabu wala hakijui vizuri anakusalimia hivyo then anadai ni salamu ya kawaida, mbona hajawahi kunisalimia kimanyema ambacho sikijui pia.
 
Reactions: _ly
Nini kimekufanya ufikiri kua lazima nina imani ambayo iko dhidi ya uislam?

Nikisema simpendi diamond hiyo inamaana nampenda alikiba?
 
Tuliza Boli kijana Bytheway Bila Pussy usingekua apo bahati mbaya tu huna akili ona umeshindwa ata kutofautisha Msalaba na Jumlisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…