Usichanganyikiwe na Dunia, mambo ndivyo yalivyo. Tuna Wanawake Malaika lakini hatuna Malaika wa Kike

Wiki hii nitawaletea makala 2 . Mtaenjoy Sana . Na wale wa kuchanganyikiwa watachanganyikiwa zaidi.
 
Wewe ni nabii mswahili au wewe na yeye mmesoma darasa moja?

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Because Jesus is made up name.
Na Yesu ni Jina Lilitoholewa na lafudhi ( ndio maana linaheshimika kiasi kwamba ni ngumu mtu kupewa Hilo Jina)
But Jesus ni Jina waliamua tu kumpa so Kwao Halina uzito ndo maana wanaitana tu. But huwezi kuta mtu anaitwa YESHUA/Yesu.
 
Naam nakupata
 
Mkuu hapa umenena haswaaaa. Ubongo wangu umeshiba haswaaa. Hasa kisa Cha Sauli na Nabii Samweli. Pana somo kubwa pale Huwa najifunza pale ambalo wakristo wengi Huwa wanapuuza na kujifanya hawapaelewi kabisa.

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…