Usichanganyikiwe na Dunia, mambo ndivyo yalivyo. Tuna Wanawake Malaika lakini hatuna Malaika wa Kike

Pana ukweli mkubwa sana pale kiongozi. Na hicho kimenifanya niwaamini waganga wa jadi. Waonaji. Hawa siyo wa kubezwa kwakukipiga upofu kabisa.

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Mwanamke mwenye pepo wa utambuzi alimpandisha kutoka kuzimu mfu / mzimu nabii samwel ili azungumze na mfalme Sauli .. Mungu hapendi tuwatumie Hawa watu , lkn hatuwezi kuupinga ukweli kuwa Hawa watu wapo na wanatumia uwezo wa Ulimwengu wa giza wa roho kufanya mambo ...
 
Mkuu kanisani haya hayapo. Huwezi pandishiwa mfu ukaongea nae. Kuna Wakati Huwa tunahitaji kuongea na wafu wa familia zetu, kama Sauli na Samweli. Naiangalia conversation Yao ilikuwa mubashara kabisa.

Lakini tunaambiwa wafu hawawezi kuzungumza. Nahisi Kuna sehemu tumepigwa na kitu kizito.

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Kaka Bado haujalisoma somo langu la wafu najua . Tulia nitalipost hivi karibuni.. Hata Yesu ujue aliongea na wafu pale mlimani ( Musa na Elia)
 
Kaka Bado haujalisoma somo langu la wafu najua . Tulia nitalipost hivi karibuni.. Hata Yesu ujue aliongea na wafu pale mlimani ( Musa na Elia)
Ukituma nitag kiongozi. Napenda sana kusoma na kufahamu haya. Kanisani hawafundishi methodology ya kufikia hatua hiyo. Uko sahihi kabisa Yesu aliongea nao, hata katika mfano wa Lazaro na mtu tajiri.

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Kuna boss, mtoto wa boss na boss mtoto. πŸ™Œ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…